Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yeye mwenyewe hajiheshimu nani sasa amuheshimu?
 
Ila Kwa mujibu wake yeye mwenyewe anasema analipwa kuliko mtu yoyote Sasa tumsikilize shabiki mpiga vuvuzela ambaye hata ofisi za yanga hajawahi fika au manara anayeshinda ofisi za yanga kila siku?
Unajuaje.....labda m ni part ya management

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi, mleta mada ndiye anayemuita manara kuwa ni mzungu. Yaani kama suala ni kashfa, basi mleta mada ndie anayemkashfu manara. Chasambi anawajibika kwa alichokisema na sio kwa namna alichokisema kinavyotafsiriwa.

Siku nyingine Acha vingine vipite kimyakimya, usichochee. Hapa wewe ndio unasambaza habari kwa ambao hawakuisikia awali iliposemwa na Chasambi (kama ni kweli alisema). Mbaya zaidi wewe umeenda mbele kwa kutoa tafsiri yako kuhusiana na kauli ya Chasambi.
Labda mtoa nada ni zeruzeru
 
Manara ni shabiki sio mchezaji
Yeye atashabia tu
Chasambi Bado kijana yeye acheze mpira, ajibu watu Kwa kazi yake.
Kutumia ulemavu wa mtu kumkejeli sio jambo zuri
Kwa mtazamo wako shabiki ana haki ya kumprovoke mchezaji na maisha yakaenda tu? Kwa wenzatu ulaya hata shabiki anawajibishwa tu kama kawaida. Lengo la Manara lilikuwa ni kumharibia Chasambi ili ionekane kwamba alifanya makusudi kuimiza simba ili kuisaidia Yanga.
 
Sikumsikiliza lkn sikuona ulipoandika kuwa NINAMPA MANARA, bali umeandika kuwa NAMPATIA MZUNGU.
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
ka
 
Back
Top Bottom