Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Ni mbaya mno mkamkashifu kutokana na hali yake ya ulemavu
Angemtania tu bila kuhusisha ulemavu wake
Dogo acheze mpira sio mzungumzaji mzuri, aachane na mike acheze mpira

Kila akiongea anaharibu
Amemtaja jina?au ndo waswahilil kama kawaida yenu tu kuzusha zusha maneno
Mna mambo ya kike nyie watu kaahh
 
Alimaanisha Albino
Nadhani washauri wa Chasambi wamwambie acheze mpira, aachane na 🎤 🎙️
We nawe mswahili mswahili sana
Katajwa jina!!mnapenda sana kujishtukia nyie watu aibu ptuu
 
Umeanza kushabikia mpira juzi? Eti manara kaifanya Simba ijulikane ndani na nje. Simba na Yanga zinajulikana ndani na nje muda mrefu tu. Acheni kuwapa watu unuhimu wasiokuwa nao nyie makolo.
Sawa lkn manara kasaidia kuibust zaidi simba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mpira wa maneno maneno, uswahili mtupu.
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wacha majungu na uchochezi wewe. Kama Manara alifanya utani basi na yeye Chasambi alifanya utani kwani nani asiyejua kuwa maalbinp wanaitwa wazungunkwa utani, kuna yule mtangazaji alikuwa Wasafi ambaye ni albino yeye mwenyewe anajiita Zungu. Wacha ushamba wa kukuza jambo dogo kulifanya kubwa, utani hauna mipaka ndiyo maana watani kwenye makabila wanafanya utani hadi kwenye misiba. Wacha hizo dogo.
 
Back
Top Bottom