KITENDO SI CHA KIUNGWANA
.
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" Akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile
Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living Legend kwenye upande wa Habari Simba , Anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba
Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu
@sanitizerrtz
Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni
Sent from my TECNO KG5j using
JamiiForums mobile app