Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Baada ya kumshangilia sana dogo wiki iliyopita mpaka mkajisahau kuwa mna mechi na JKT pale Major Jeneral Isamuhyo. Sasa endeleeni kuwa buzy na Chasambi muone.
 
Kwaiyo angemuita zeruzeru au!? Ujielewi mkuu
 
Kama hataki kuitwa mzungu basi tumuite ZERUZERU, tuone lipi lina unyanyapaa.

Huyu Albino anawabagaza watu kwenye mitandao kila siku wala hamjitokezi kumkanya.

Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Manara na ualbino wake akae kwa kutulia.Ningekuwa mimi ndo Chasambi nisingemuita mzungu.Ningemuita zeruzeru.
 
Asitumie ulemavu wake kutafuta huruma kwa watu huwa mdomo wake huyo mzungu pori ni mchafu sana yeye ali-print jezi kwa kumdhihaki....sawa sawa tu!
 
Mchango wa manara nje ya taifa kwa simba ni upi buda… we unadhani wenzetu wanaendeshwa na kelele za wasemaji. Labda amuombe radhi kwa heshima au umri…
 
Ni mbaya mno mkamkashifu kutokana na hali yake ya ulemavu
Angemtania tu bila kuhusisha ulemavu wake
Dogo acheze mpira sio mzungumzaji mzuri, aachane na mike acheze mpira

Kila akiongea anaharibu
Kabisa mkuu.... wachezaji waswahili hawa ndio maana hawadumu Kwa kusikiliza zaidi mambo ya nje ya uwanja .....

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
hata akumuomba msamaha Haina maana kwa kuwa tayari ameshamwita hivyo!

na je ni wapi alimaanisha mzungu aliyemtaja ni Manara?
Inajulikana tu hyo mkuu....acha unafiki.... I know u understand what chasambi ( Mzee wa kujisweka [emoji23]) meant

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada hujawahi kuwa na akili hata kisoda, mlivyoshangilia na kumkashfu mliwaza nini? Wakati huyo TAKADINI anamdhihaki kwa kuprint tshirt mbona hukuleta huu ujinga hapa. Kila mtu ashinde mechi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…