Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Manara alipochonga jezi na kuandika chasambi ilikua uungwana?
 
Mnaendelea na uchonganishi wenu kama DNA yenu inavyowataka.
 
Chasambi ana haki yake pia ya kuumia au kufurahi. Manara anapaswa kujiheshimu yule dogo bado anasafari ndefu ya maisha, Manara ameshamaliza zamu yake aache shobo. Lakini pia Chasambi kumtaja mzungu haimaanishi kamtaja Manara
Dg chasambi Mzee wa kujisweka
....hatakiw kuko ncentrate na maneno ya nje ya uwanja

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Alitaja na jina

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Lkn amewafanyia mambo mengi mazuri kuliko mabaya

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa umejaa mavi hivi kati Simba na manara yupi kamfanya mwenzake ajurikane Tanzania?
 
Baada ya kumshangilia sana dogo wiki iliyopita mpaka mkajisahau kuwa mna mechi na JKT pale Major Jeneral Isamuhyo. Sasa endeleeni kuwa buzy na Chasambi muone.
Kujisahau kivipi mkuu....wakati sisi wachambuzi tuliplay part yetu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yeye kasema anampa mzungu, wew unamsema manara, manara ni mzungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…