PreGE2025 CHASO: G55 ni matokeo ya tamaa ya madaraka, 'Ni waasi wasioitakia mema CHADEMA'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti huyo amehoji ni nani hasa anayewasimamia wanachama hao waliokiuka msimamo wa chama. Ameeleza kuwa hatua ya kundi hilo ni matokeo ya tamaa ya madaraka, hususan tamaa ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.

“Watu hawa wanatamani kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali, na kwa kuwa CHADEMA imesisitiza kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, wameamua kwenda kinyume na msimamo huo kwa maslahi yao binafsi,” amesema.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.
1744028276688.png
 
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.View attachment 3295842
Yaani mama Kiwanga,Grace Kiwelu, Bony Yai na John Mrema wanazidiwa akili na hawa madogo.
 
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.
Kichwa hiki
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti huyo amehoji ni nani hasa anayewasimamia wanachama hao waliokiuka msimamo wa chama. Ameeleza kuwa hatua ya kundi hilo ni matokeo ya tamaa ya madaraka, hususan tamaa ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.

“Watu hawa wanatamani kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali, na kwa kuwa CHADEMA imesisitiza kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, wameamua kwenda kinyume na msimamo huo kwa maslahi yao binafsi,” amesema.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.View attachment 3295842
Hawa wana tofauti gani na wale wa "zidumu fikra sahihi za...."?

Amandla...
 
Sheria wanazotaka zibadilishwe Ni zipi?
Na je izo Sheria zitabadilishwa ndani ya miez 6 iliosalia kabla ya uchaguz?
Je izo Sheria zipo kwenye katiba au Ni Sheria ndog ndog
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti huyo amehoji ni nani hasa anayewasimamia wanachama hao waliokiuka msimamo wa chama. Ameeleza kuwa hatua ya kundi hilo ni matokeo ya tamaa ya madaraka, hususan tamaa ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.

“Watu hawa wanatamani kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali, na kwa kuwa CHADEMA imesisitiza kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, wameamua kwenda kinyume na msimamo huo kwa maslahi yao binafsi,” amesema.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.View attachment 3295842
Hawaitakii mema Chadema tu. Hawa Mashetani hawawatakii mema Watanzania wote kwa ujumla.
 
Binafsi na waza mfadhili ni kijani kwa ushirikiano na mw.kiti aliye kuwa akihudumia vyama viwili kwa wakati mmoja.
 
Wamejivua nguo hao mafisi, hao ndio wafanya biashara ya siasa. Wafukuzwe wote. Harakati za ukombozi zinahitaji watu ambao wako tayari kutoa sadaka mafanikio madogo ya muda mfupi kwa ajili ya mafanikio makubwa ya baadae, hata kama hawatokuwa hai kufaidi matunda ya kazi yao.
 
Chadema inasubiri nn kuwafukuza hao Wasakatonge 55 (W-55)?
 
Back
Top Bottom