yai hayupo uko anaunga mkono hojaBoni Egg bwana kumbe hamna kitu. Wanajenga maghorofa kwa pesa za namna hii. Na zile kesi zao ni za michongo tu
yai hayupo uko anaunga mkono hojaBoni Egg bwana kumbe hamna kitu. Wanajenga maghorofa kwa pesa za namna hii. Na zile kesi zao ni za michongo tu
wasikilizwe acheni kuwapa majina mabaya. Tusiwakatie tamaa by LissuWamejivua nguo hao mafisi, hao ndio wafanya biashara ya siasa. Wafukuzwe wote. Harakati za ukombozi zinahitaji watu ambao wako tayari kutoa sadaka mafanikio madogo ya muda mfupi kwa ajili ya mafanikio makubwa ya baadae, hata kama hawatokuwa hai kufaidi matunda ya kazi yao.