The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
😅😅😅Nzi55
Yaani mama Kiwanga,Grace Kiwelu, Bony Yai na John Mrema wanazidiwa akili na hawa madogo.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti huyo amehoji ni nani hasa anayewasimamia wanachama hao waliokiuka msimamo wa chama. Ameeleza kuwa hatua ya kundi hilo ni matokeo ya tamaa ya madaraka, hususan tamaa ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.
“Watu hawa wanatamani kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali, na kwa kuwa CHADEMA imesisitiza kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, wameamua kwenda kinyume na msimamo huo kwa maslahi yao binafsi,” amesema.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.View attachment 3295842
Kichwa hikiKwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.
Boni Egg bwana kumbe hamna kitu. Wanajenga maghorofa kwa pesa za namna hii. Na zile kesi zao ni za michongo tuYaani mama Kiwanga,Grace Kiwelu, Bony Yai na John Mrema wanazidiwa akili na hawa madogo.
Hawa wana tofauti gani na wale wa "zidumu fikra sahihi za...."?Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti huyo amehoji ni nani hasa anayewasimamia wanachama hao waliokiuka msimamo wa chama. Ameeleza kuwa hatua ya kundi hilo ni matokeo ya tamaa ya madaraka, hususan tamaa ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.
“Watu hawa wanatamani kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali, na kwa kuwa CHADEMA imesisitiza kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, wameamua kwenda kinyume na msimamo huo kwa maslahi yao binafsi,” amesema.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.View attachment 3295842
ImechinaHawa wana tofauti gani na wale wa "zidumu fikra sahihi za...."?
Amandla...
Mtu akiwa mnene sana kama boni yai akili hupungua kichwaniYaani mama Kiwanga,Grace Kiwelu, Bony Yai na John Mrema wanazidiwa akili na hawa madogo.
Si mlisema nyinyi ni tofauti na CCM? Kinachofuata ni maandamano ya kumpongeza Mwenyekiti kwa msimamo wake na kumshinikiza awafukuze mapandikizi wote!Imechina
Hawaitakii mema Chadema tu. Hawa Mashetani hawawatakii mema Watanzania wote kwa ujumla.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti huyo amehoji ni nani hasa anayewasimamia wanachama hao waliokiuka msimamo wa chama. Ameeleza kuwa hatua ya kundi hilo ni matokeo ya tamaa ya madaraka, hususan tamaa ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.
“Watu hawa wanatamani kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali, na kwa kuwa CHADEMA imesisitiza kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, wameamua kwenda kinyume na msimamo huo kwa maslahi yao binafsi,” amesema.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.View attachment 3295842
Bon yai ndo kazingua sana kama kweli nae yumo.Yaani mama Kiwanga,Grace Kiwelu, Bony Yai na John Mrema wanazidiwa akili na hawa madogo.
Binafsi na waza mfadhili ni kijani kwa ushirikiano na mw.kiti aliye kuwa akihudumia vyama viwili kwa wakati mmoja.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti huyo amehoji ni nani hasa anayewasimamia wanachama hao waliokiuka msimamo wa chama. Ameeleza kuwa hatua ya kundi hilo ni matokeo ya tamaa ya madaraka, hususan tamaa ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.
“Watu hawa wanatamani kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali, na kwa kuwa CHADEMA imesisitiza kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, wameamua kwenda kinyume na msimamo huo kwa maslahi yao binafsi,” amesema.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CHASO kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Martin Kambore, amesema kuwa bila kufanyika kwa marekebisho ya sheria ya uchaguzi, haiwezekani kuwa na uchaguzi wa haki na huru nchini.View attachment 3295842
Evolution ya covid 19MPOX55
Yale ni mapandikizi, ni wanasiasa wanaonunulikaNzi55
Bony Yai mtoe..Yaani mama Kiwanga,Grace Kiwelu, Bony Yai na John Mrema wanazidiwa akili na hawa madogo.