Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Lakini kila mahusiano sio lazima yafike kwenye ndoa, ila nashkuru kwasababu sikuzile ulinifundisha twisheni (kupenda)
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kila mahusiano sio lazima yafike kwenye ndoa, ila nashkuru kwasababu sikuzile ulinifundisha twisheni (kupenda)
Mambo mengi siku hizi wengine wake za watu hapo..
Doooh umenikumbusha Diva Beyonce...huyu mdada kapotelea wapi? I real miss herMambo mengi siku hizi wengine wake za watu hapo..
Nimemsahau nifah na diva Beyonce!!! Na eveline salt[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]!!!!!
Halafu hapo tulikua team Zari tupu...mrembo by nature tu ndo alikua team Wema...!!!
Kumepoa mnoo sasa hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Doooh umenikumbusha Diva Beyonce...huyu mdada kapotelea wapi? I real miss her
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa warumi mpaka leo bado kuna members wanadhani wewe ni mwanaume?
wakapimwe akili hao
Mie napendaga unavyoweza kumind business za celebrities tu....hunaga muda na sisi tusiojulikana
My binamu,nakupenda mnoo..toka enzi zile tunatukanwaaa!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]na matola kisa umbea!!!nammis,HOE,Heaven Sent,Tatiana,ladykims,dinazarde,Queen of Sheba,mrembo by nature n.k!!!
Alikua akichambwa Wema enzi zile [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]sisahau siku ile Lara peke yake sisi kama wote tunamchamba mange yeye anamtetea!!!Eeh Mungu wee!siku hizi nakaa siku nzima sijaingia jf...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali yangu ni kama ifuatavyo
Broo unamiaka mingapi? Je umeoa?
Je unamudu vipi mda wa kuendesha familia na kutafuta umbea?
Je unadhani umbea ni sahihi katika jamii Kama ndio kwanini na kama hapana ningependa nijuee kwa nini?
Je unadhani hao unaowaletea umbea wanapenda uwafanyie hvyo? Na kama hawapendi kwa nini ufanye hivyo?
Kaka hivi hizi habari unazipataga wapi we ni celebritie au mtu wao wakaribu? Au we sio lukole kweli umebadili I'd? Ushawahi shtukiziwa na hao unaowafichua?
Je unadhani umbea ni sahihi katika jamii
kama sio kwa nini unafanya hvyo Kama ndio kwa nini ni sahihi?
Je ungependa mwanao awe mmbea kama wewe?
Maswali ya nyongeza
Je serikali yetu ya awamu ya tano inabidi ifanye nini kukuza kilimo cha pamba?
Katika sekta yetu ya utalii unadhani serikali ifanye nini kuondoa tatizo la industry espionage?
Hivi mkuu ni kwa nini sisi kuna baadhi ya mazao tunalima lakini bado tunanunua products ya hayo mazaoo au hayo mazao kutoka nje mfano sukari?
Tukiangalia kweny biashara mkuu kwa nini demand ya products uwa inapanda pale ambapo price inashuka? Hivi hii ai affect inflation rate?
Mkuu ningependa kulima zao la ngano unaweza nielekeza nifanyaje na linalimwa vipi na condition zake?
Unaichukuliaje serikali awamu ya tano?
Nb: nijibu maswali yangu ya nyongeza hayo ya juu sipo interested nayo ila ukipenda unaweza ukayajibu
Ntashkuru Kama ntapata majibu yangu
GH
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimekumbuka mbali siku hizi majukumu yameongezekaa unajua binam queen of sheba alikuwa mpole sanaaMy binamu,nakupenda mnoo..toka enzi zile tunatukanwaaa!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]na matola kisa umbea!!!nammis,HOE,Heaven Sent,Tatiana,ladykims,dinazarde,Queen of Sheba,mrembo by nature n.k!!!
Alikua akichambwa Wema enzi zile [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]sisahau siku ile Lara peke yake sisi kama wote tunamchamba mange yeye anamtetea!!!Eeh Mungu wee!siku hizi nakaa siku nzima sijaingia jf...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani si anaishi na yule jamaa mwingine au tayari chaliLakini kila mahusiano sio lazima yafike kwenye ndoa, ila nashkuru kwasababu sikuzile ulinifundisha twisheni (kupenda)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijui mkuuDahhhhh.....
Nani huyo mkuu...[emoji53]
He is she!Maswali yangu ni kama ifuatavyo