Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaaaahaaa!binamu nna PM zako siku nikisomaga nachekaaaaaa loooh!umbea huuAhaha Enz hizo ilikua balaa binamu , umbea vichambo, dah na matola alijua kuchamba na alikua na maneno Makali sana, sijui zitarud zile Enz , maana ilikua balaa, nimewamis sana wanazengo wote uliowataja
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app