Chat with warumi

Ahaha Enz hizo ilikua balaa binamu , umbea vichambo, dah na matola alijua kuchamba na alikua na maneno Makali sana, sijui zitarud zile Enz , maana ilikua balaa, nimewamis sana wanazengo wote uliowataja


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaaahaaa!binamu nna PM zako siku nikisomaga nachekaaaaaa loooh!umbea huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa unakumbuka enzi za #bringbackourwarumi#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…