Chata la Tai mwenye taji kwenye malori na Siri iliyojificha

Kwema Wakuu!

Kuanzia mwaka Juzi 2023 mwezi December, na mwaka Jana kukachanganya kuna ongezeko kubwa la Magari hasa malori ya Mafuta yakiwa na chata la Tai aliyevishwa Taji kichwani.

Kama utakuwa mdadisi unaweza kugundua Jambo hilo kwamba Kati ya malori matatu basi Lori Moja litakuwa na chata la Tai mwenye taji kichwani.

Sitaki kuwakosea Wakubwa kwa kusema mambo haya.
Acha niwaachie wakina Mshana Jr DR Mambo Jambo
Bujibuji Simba Nyamaume
Na wengineo wenye utaalamu na mambo ya Code, Siri, ishara na michoro.
Tunaomba ufafanuzi kwa Sababu najua lazima mtakuwa mmeliona Jambo hilo.
Je hiyo inamaanisha nini?
Kwa nini Jambo hilo limepata nguvu hasa mwaka Jana 2024 na Nina uhakika mwaka 2025 kila baada ya Lori Moja litakuwa na chata la Tai mwenye taji kichwani.

Nini maana yake. Je inaathari yoyote kwenye jamii?

Nawaachia Maiki
Karibuni

Mtibeli
Umeanza kuwa mbea.
Unatuwekea maneno bila ushuhuda

Usitufanye hatuna akili bana
 
Yaani mimi ninashindwa kukuelewa. Mada uanzishe wewe halafu unamtwisha mwingine afafanue. Bora ungekuwa umeuliza swali.
 
IMG_20250128_192629.jpg
 
Kwema Wakuu!

Kuanzia mwaka Juzi 2023 mwezi December, na mwaka Jana kukachanganya kuna ongezeko kubwa la Magari hasa malori ya Mafuta yakiwa na chata la Tai aliyevishwa Taji kichwani.

Kama utakuwa mdadisi unaweza kugundua Jambo hilo kwamba Kati ya malori matatu basi Lori Moja litakuwa na chata la Tai mwenye taji kichwani.

Sitaki kuwakosea Wakubwa kwa kusema mambo haya.
Acha niwaachie wakina Mshana Jr DR Mambo Jambo
Bujibuji Simba Nyamaume
Na wengineo wenye utaalamu na mambo ya Code, Siri, ishara na michoro.
Tunaomba ufafanuzi kwa Sababu najua lazima mtakuwa mmeliona Jambo hilo.
Je hiyo inamaanisha nini?
Kwa nini Jambo hilo limepata nguvu hasa mwaka Jana 2024 na Nina uhakika mwaka 2025 kila baada ya Lori Moja litakuwa na chata la Tai mwenye taji kichwani.

Nini maana yake. Je inaathari yoyote kwenye jamii?

Nawaachia Maiki
Karibuni

Mtibeli
Mkuu hiyo ni sticker maarufu kwenye lori za scania.

Ni kama zile sticker za watoto wa chekechea kwenye cabin za Fuso hasa tandam.
 
Back
Top Bottom