ChatGPT Ime-jam na kuchanganyikiwa baada ya kuiuliza swali hili fupi

ChatGPT Ime-jam na kuchanganyikiwa baada ya kuiuliza swali hili fupi

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Chat gpt imepagawa haiwezi kutofautisha 10,007 (Kumi alfu na saba) na 17,000 (elfu kumi na saba)

Ona ilivyojam 😂😂



Hakika! Hapa chini ni maandishi ya nambari hizo kwa maneno ya Kiswahili sahihi:
  • 17,000: Elfu kumi na saba
  • 10,007: Elfu kumi na saba
Lakini hapa kuna kosa la kawaida ambalo linatokea kutokana na kufanana kwa matamshi.

Tafsiri sahihi ni hii hapa:
  • 17,000: Elfu kumi na saba
  • 10,007: Elfu kumi na saba (yaani elfu kumi + saba)
Lakini kwa usahihi kikamilifu, tutaandika:
  • 17,000: Elfu kumi na saba
  • 10,007: Elfu kumi na saba (yaani elfu kumi na saba moja)
Kwa Kiswahili fasaha, maandishi ya 10,007 yanaweza kuwa:
  • Elfu kumi na saba (yaani elfu kumi na saba moja)
Au kwa ufafanuzi:
  • 10,007: Elfu kumi na saba (elfu kumi + saba)
Kwa hiyo, ikiwa unataka tofauti wazi:
  • 17,000: Elfu kumi na saba
  • 10,007: Elfu kumi na saba na saba moja au Elfu kumi na saba moja
Ukitaka nitumie pia lugha ya kifasihi au maelezo ya kisayansi ya namba hizi, niambie.
 
Hivi hakuna mambo ya msingi yakuuliza?Yani kwahili hata huyo chatgpt anaishangaa sana tz,swali kama hilo ameulizwa sana.. Najua watz tuna kura nyingi za ujinga kutoka kwa huyu jamaa
 
Jibu la deepseek, angalau angalau.
 

Attachments

  • Screenshot_20250514_231435_DeepSeek.jpg
    Screenshot_20250514_231435_DeepSeek.jpg
    285.7 KB · Views: 27
  • Screenshot_20250514_231849_DeepSeek.jpg
    Screenshot_20250514_231849_DeepSeek.jpg
    245.2 KB · Views: 24
Mnao pondea mada na uhakika pia ham hamjui kuzisoma kwa maneno hizo namba
 
17000 elfu kumi na Saba elfu

10,007 elfu kumi na Saba

10,017 elfu kumi na kumi na Saba

10,117 elfu kumi na Mia kumi na Saba

17,117 elfu kumi na Saba elfu mia kumi na Saba
 
Back
Top Bottom