round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
17,000 kumi na saba elfu
Vijana wa hivi mna mchango mdogo sana kwa Taifa letuπ€£π€£Nimeiuliza chat gpt iandike kwa maanishi 10,007 (Kumi alfu na saba) na 17,000 (elfu kumi na saba)
Ona ilivyojam ππ
View attachment 3333742
90% wamejifunzia kupitia uzi huu πMnao pondea mada na uhakika pia ham hamjui kuzisoma kwa maneno hizo namba