Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na maarifa yataongezeka."
Leo, tunaona wazi kutimia kwa unabii huo kupitia maendeleo makubwa ya teknolojia, hasa katika Akili Mnemba. Zamani, maarifa yalihifadhiwa katika vitabu na kupatikana polepole, lakini sasa, kwa sekunde chache tu, mtu anaweza kupata maarifa na taarifa nyingi kwa njia ya mitandao, AI, na mifumo ya kisasa ya kompyuta. Akili Mnemba si tu kwamba inachakata taarifa haraka, bali pia inajifunza, inafikiri, na hata kusaidia kufanya maamuzi magumu. Ni dhahiri, maarifa yameongezeka kama ilivyotabiriwa.
Kuongezeka kwa maarifa ni moja ya dalili za siku za mwisho. Katika Mathayo 24:3-14, Yesu alieleza ishara na dalili nyingine zitakazotokea kabla ya kuja kwake na kabla ya mwisho wa dunia. Dalili na ishara hizo karibu zote zimeishatimia. Huu ni uthibitisho wa wazi kuwa Biblia ni kitabu cha kuaminika. Kwa wanaoamini kitabu hiki, kuongezeka huku kwa maarifa ni maonyo kwamba nyakati tulizo nazo si za kawaida. Huu ni wakati wa kuwa macho, ni wakati wa kujiandaa kiroho, na kusimama imara kwa Mungu, kwa kuwa siku ya kurudi kwa Yesu imekaribia!
Ibilisi anajua wakati uliobaki ni mchache(Ufunuo 12:12), kwa sababu hiyo anafanya kila jitihada kuwashawishi watu wasiamini kuwa Mungu yupo. Anatumia mbinu nyingi kuwashawishi watu wazame katika matendo ya dhambi kama ushoga, uzinzi, ulevi, wizi, uongo nk, ili siku hiyo ikifika waachwe, maana Yesu akirudi atawachukua na kuwapeleka mbinguni wale tu waliotubu dhambi zao na kumwamini Yesu. Watakaoachwa watabaki katika dhiki kuu ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu(Mathayo 24:21); na hatimaye siku ya mwisho wote wasioamini watatupwa pamoja na Ibilisi katika moto wa milele(Mathayo 25:41).
Wimbo huu na picha hizi zimetengenezwa kwa msaada wa chatGPT/AI
Ulimwengu usioenekana upo more advanced kuliko ulimwengu huu haya yote sijui drones, computer, robot,AI wao wameshapita huko zaidi ya miaka 3000 iliyopita.
Watu kama kina Elon musk wanaitwa matrons formation kazi ya watu kama hawa ni kutransform new idea au technology toka ulimwengu usioenekana na kuzileta kwenye dunia yetu
Nakumbuka wakati ndiyo naijua Google nilikuwa natafuta sna habari za wanyama, nilikuwa naona ni kitu fulani kizuri sijui nisimulie vipi hapa.
🤣🤣
Umenikumbusha mbali sana mkuu
Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na maarifa yataongezeka."
Leo, tunaona wazi kutimia kwa unabii huo kupitia maendeleo makubwa ya teknolojia, hasa katika Akili Mnemba. Zamani, maarifa yalihifadhiwa katika vitabu na kupatikana polepole, lakini sasa, kwa sekunde chache tu, mtu anaweza kupata maarifa na taarifa nyingi kwa njia ya mitandao, AI, na mifumo ya kisasa ya kompyuta. Akili Mnemba si tu kwamba inachakata taarifa haraka, bali pia inajifunza, inafikiri, na hata kusaidia kufanya maamuzi magumu. Ni dhahiri, maarifa yameongezeka kama ilivyotabiriwa.
Kuongezeka kwa maarifa ni moja ya dalili za siku za mwisho. Katika Mathayo 24:3-14, Yesu alieleza ishara na dalili nyingine zitakazotokea kabla ya kuja kwake na kabla ya mwisho wa dunia. Dalili na ishara hizo karibu zote zimeishatimia. Huu ni uthibitisho wa wazi kuwa Biblia ni kitabu cha kuaminika. Kwa wanaoamini kitabu hiki, kuongezeka huku kwa maarifa ni maonyo kwamba nyakati tulizo nazo si za kawaida. Huu ni wakati wa kuwa macho, ni wakati wa kujiandaa kiroho, na kusimama imara kwa Mungu, kwa kuwa siku ya kurudi kwa Yesu imekaribia!
Ibilisi anajua wakati uliobaki ni mchache(Ufunuo 12:12), kwa sababu hiyo anafanya kila jitihada kuwashawishi watu wasiamini kuwa Mungu yupo. Anatumia mbinu nyingi kuwashawishi watu wazame katika matendo ya dhambi kama ushoga, uzinzi, ulevi, wizi, uongo nk, ili siku hiyo ikifika waachwe, maana Yesu akirudi atawachukua na kuwapeleka mbinguni wale tu waliotubu dhambi zao na kumwamini Yesu. Watakaoachwa watabaki katika dhiki kuu ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu(Mathayo 24:21); na hatimaye siku ya mwisho wote wasioamini watatupwa pamoja na Ibilisi katika moto wa milele(Mathayo 25:41).
Huyo ChatGPT mwenyewe hajazoeleka bado na tayari ameshapata wapinzani wake kina Deepsek na wengine wengi. Je, huoni baada ya miaka 5 hadi 10 ijayo patakuwa na maarifa tofauti na bora zaidi ya hizi akili mnemba? Huu ni mwanzo tu, maarifa kamili ni kwa karne zijazo mtumishi wa Mungu.
Nakumbuka wakati ndiyo naijua Google nilikuwa natafuta sna habari za wanyama, nilikuwa naona ni kitu fulani kizuri sijui nisimulie vipi hapa.
🤣🤣
Umenikumbusha mbali sana mkuu
Mkuu acha kabisa mara ya kwanza natumia internet yani nilikuwa naonaje sijui. Kipindi hicho yahoo ilikuwa center ya kila kitu yani master wa internet. Kuanzia search, email, messenger, news na kila kitu. Nashukuru ishi campaign na zile hub zao waliweka vituo na comps kwa ajili ya vijana. Nilikuwa nalipia nadhani jero kwa saa. Ikafika kipindi jmosi naachiwa mimi ndiye niwe napokea pesa na kuwawekea muda.
Aisee tumetoka mbali.
The statement by Robert Ingersoll is a clever play on logic, but it fails to account for key aspects of truth, especially in relation to the Bible. Here’s why:
The Fallacy of Mutual Exclusion
Ingersoll assumes that because religions criticize each other, they must all be false. However, logically, this does not follow. If multiple people accuse one another of lying, it does not mean everyone is lying—one person could still be telling the truth. Likewise, the mere existence of religious disagreement does not disprove the truth of any one religion.
The Bible’s Unique Claims and Consistency
Unlike other religious texts, the Bible presents a unique and cohesive narrative spanning thousands of years, written by multiple authors yet maintaining consistency in its message. It alone provides a clear historical and prophetic record, including fulfilled prophecies about Jesus Christ (e.g., Isaiah 53, Micah 5:2) that substantiate its divine origin.
Evidence of Divine Revelation
The Bible is supported by historical, archaeological, and textual evidence. For instance, discoveries such as the Dead Sea Scrolls confirm the accuracy of Old Testament texts, and archaeology has verified many biblical locations, events, and figures. No other religious text has the same level of historical corroboration.
The Bible’s Transformative Power
Unlike man-made philosophies, the Bible has demonstrably changed lives across history. From its role in the abolition of slavery to personal testimonies of redemption, the Bible uniquely provides a moral and spiritual foundation that has stood the test of time.
Jesus Christ’s Unique Authority
While many religions point to human leaders, Jesus Christ claimed to be the Son of God (John 14:6). His resurrection, attested by over 500 witnesses (1 Corinthians 15:3-6), is unparalleled in religious history and provides compelling evidence for the Bible’s divine truth. So Braza Kede , The fact that religions critique each other does not prove them all false. Rather, it suggests that truth exists and counterfeits attempt to distort it. The Bible stands apart, not as one among many, but as the singular revelation of God's truth, supported by history, prophecy, and the living testimony of those transformed by its message like me Setfree !!
Mkuu acha kabisa mara ya kwanza natumia internet yani nilikuwa naonaje sijui. Kipindi hicho yahoo ilikuwa center ya kila kitu yani master wa internet. Kuanzia search, email, messenger, news na kila kitu. Nashukuru ishi campaign na zile hub zao waliweka vituo na comps kwa ajili ya vijana. Nilikuwa nalipia nadhani jero kwa saa. Ikafika kipindi jmosi naachiwa mimi ndiye niwe napokea pesa na kuwawekea muda.
Aisee tumetoka mbali.
Ila mkuu umenifikirisha sana na kunikumbusha mbali!
Nakumbuka kipindi Iko unaenda internet cafe unalipia saa moja sijui jero au buku afu internet yenyewe Iko so slowly!
Huna Cha maana sana unachokifanya ila ukimaliza hapo moyo wako una amani!..
Kitu nimejifunza ni kuwa fursa zimefungwa katika muda! ... Namna ambavyo internet cafe miaka Ile zilivyokuwa too valuable na kuingiza Pesa nyingi compared to now kwamba Kila mtu anaweza kufanya vitu vyote kwa kutumia simu yake ya kinganyaniii

Kabisa mkuu ilikuwa slow kinoma. Website nyingi zikitumia flash, lazima uwe umeinstall micromedia flash player. Nakumbuka mzibo.net hapo nasikiliza ngoma za kibongo.
Hata miaka ya 2010-2015 internet cafe zilikuwa bado zinalipa lipa nilikuwa nayo moja nilipga sana pesa.
Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na maarifa yataongezeka."
Leo, tunaona wazi kutimia kwa unabii huo kupitia maendeleo makubwa ya teknolojia, hasa katika Akili Mnemba. Zamani, maarifa yalihifadhiwa katika vitabu na kupatikana polepole, lakini sasa, kwa sekunde chache tu, mtu anaweza kupata maarifa na taarifa nyingi kwa njia ya mitandao, AI, na mifumo ya kisasa ya kompyuta. Akili Mnemba si tu kwamba inachakata taarifa haraka, bali pia inajifunza, inafikiri, na hata kusaidia kufanya maamuzi magumu. Ni dhahiri, maarifa yameongezeka kama ilivyotabiriwa.
Kuongezeka kwa maarifa ni moja ya dalili za siku za mwisho. Katika Mathayo 24:3-14, Yesu alieleza ishara na dalili nyingine zitakazotokea kabla ya kuja kwake na kabla ya mwisho wa dunia. Dalili na ishara hizo karibu zote zimeishatimia. Huu ni uthibitisho wa wazi kuwa Biblia ni kitabu cha kuaminika. Kwa wanaoamini kitabu hiki, kuongezeka huku kwa maarifa ni maonyo kwamba nyakati tulizo nazo si za kawaida. Huu ni wakati wa kuwa macho, ni wakati wa kujiandaa kiroho, na kusimama imara kwa Mungu, kwa kuwa siku ya kurudi kwa Yesu imekaribia!
Ibilisi anajua wakati uliobaki ni mchache(Ufunuo 12:12), kwa sababu hiyo anafanya kila jitihada kuwashawishi watu wasiamini kuwa Mungu yupo. Anatumia mbinu nyingi kuwashawishi watu wazame katika matendo ya dhambi kama ushoga, uzinzi, ulevi, wizi, uongo nk, ili siku hiyo ikifika waachwe, maana Yesu akirudi atawachukua na kuwapeleka mbinguni wale tu waliotubu dhambi zao na kumwamini Yesu. Watakaoachwa watabaki katika dhiki kuu ambayo haijawahi kuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu(Mathayo 24:21); na hatimaye siku ya mwisho wote wasioamini watatupwa pamoja na Ibilisi katika moto wa milele(Mathayo 25:41).
amina, hiyo kumwamini sio kuongea tu mdomoni kuna maagizo ya utii kwake kwahiyo pitia na unabii wa ufunuo upate ufafanuzi zaidi ya huo unabii na kila kitakacho kuwa kimeandikwa ufungue moyo wako ukifuate kwa kuwa chochote kilicho tajwa kwenye unabii ni kipo na chochote kisicho kuwepo basi nacho hakipo.
kama iliandikwa hivi basi itakuwa hivi na kama iliandikwa vile itakuwa vile