ChatGPT sio wakuwaamini, kwamba nyumba ya mfalme wa Saudia imegharimu trillion 1.5 US Dollars??? 😳

ChatGPT sio wakuwaamini, kwamba nyumba ya mfalme wa Saudia imegharimu trillion 1.5 US Dollars??? 😳

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,133
Au wamechanganyikiwa kumbe ndonimeanza kuamini kuwa sio Kila kilichopo mitandaoni cha kuamini nahisi hizi figure Wali wrong. Haiwezekani nyumba tu iwe bei mara tano ya utajiri wa Elon Musk. Hivi wanaijua dollar trillion hawa 🤣🤣🤣

Kwa maana hiyo ni matajiri Sasa kuliko Elon Musk ambae ni tajiri Namba moja duniani Sasa tushike kipi mbona wanatuchanganya. That means kama nyumba tu ni hiyo thamani je pesa walizonazo???

CHATGPT iam deleting you now
 

Attachments

  • Screenshot_20250728_070227_ChatGPT.jpg
    Screenshot_20250728_070227_ChatGPT.jpg
    227.2 KB · Views: 36
  • Screenshot_20250728_070328_ChatGPT.jpg
    Screenshot_20250728_070328_ChatGPT.jpg
    185.2 KB · Views: 34
Mkuu kwa nilivyoelewa mimi hapa ni kuwa familia yao ambayo a.k.a yake ni "House of Saud" ndiyo inamiliki kiasi hicho cha utajiri na sio kuwa ni gharama za nyumba/hekalu lao.
Sahihi kabisa nilitaka kupima upepo wa walimu kama wanajua kiingereza ila ukweli ni kuwa hata pamoja na hivyo iyo pesa ni nyingi kaka
 
Mpwayungu Village kumbuka huo ni utajiri wa familia na ukiendelea wameweka utajiri wa mtu mmoja mmoja, Elon Musk anaongoza kwa utajiri individually na si wa kifamilia. Ukiangalia utajiri wa King Salman ni net $18b na Prince Alwaleed bin Tatal ni net $17b ambao hata ukiwajumlisha hawamfikii Elon Musk hata robo mwenye net wealth ya $414.9b😀😀
 
Mpwayungu Village kumbuka huo ni utajiri wa familia na ukiendelea wameweka utajiri wa mtu mmoja mmoja, Eron Musk anaongoza kwa utajiri individually na si wa kifamilia. Ukiangalia utajiri wa King Salman ni net $18b na Prince Alwaleed bin Tatal ni net $17b ambao hata ukiwajumlisha hawamfikii Eron Musk hata robo mwenye net wealth ya $414.9b😀😀
Elon na sio eron
 
Back
Top Bottom