ChatGPT sio wakuwaamini, kwamba nyumba ya mfalme wa Saudia imegharimu trillion 1.5 US Dollars??? 😳

ChatGPT sio wakuwaamini, kwamba nyumba ya mfalme wa Saudia imegharimu trillion 1.5 US Dollars??? 😳

Inawezekana kabisa. Ulishasikia nyumba ya Ambhani? Ile nyumba ndiyo nyumba ya makazi privateyenye thamani kubwa ikiwa ya pili duniani ukiondoa makazi ya mfalme wa uingereza.
Mbona elon musk hana makazi hayo?
Inategemea na mapenzi na tamaduni za watu.
Kuna mtu ana utajiri wa kawaida lakini ana miliki gari la bei ghali sana na kuna mtu ana pesa nyingi anaendesha gari la kawaida.
Ni taste tu ya vitu. Nyumba ya ambhan jana nilikuwa natazama documentary kuwahusu wanadai imegharimu karibu 2b dollars. Ile nyumba ina hadi sehemu ya kutemgeneza snow majira ya joto kali. Ina floor kwajoli ya parking ya zaidi ya magari yao 200. Ina wafanyakazi 600 wa kuihudumia.
 
Au wamechanganyikiwa kumbe ndonimeanza kuamini kuwa sio Kila kilichopo mitandaoni cha kuamini nahisi hizi figure Wali wrong. Haiwezekani nyumba tu iwe bei mara tano ya utajiri wa Elon Musk. Hivi wanaijua dollar trillion hawa 🤣🤣🤣

Kwa maana hiyo ni matajiri Sasa kuliko Elon Musk ambae ni tajiri Namba moja duniani Sasa tushike kipi mbona wanatuchanganya. That means kama nyumba tu ni hiyo thamani je pesa walizonazo???

CHATGPT iam deleting you now
Forbes huwa hawa-include baadhi ya watu ikiwemo viongozi wa juu wa kisasa kama maraisi, pia familia za kifalme ikiwemo kiarabu hasa huko saudia haziko kwenye list za matajiri Kwa sababunyingi na mojawapo ni kuwa utajiri wao ni wa kurithishana vizazi na vizazi na njia ya kuupata (investment) inakua haiko wazi . Ndo maana top list yote huwezi kuona waarabu,viongozi wa juu wa nchi zozote. So Kuna watu Wana pesa kuliko Elon ila hawajameet criteria za kuwekwa kwenye Forbes.
 
Back
Top Bottom