Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Hao mm nishagawafuta kwenye akili yangu, na siwataki popote pale kuwasikiaUmesikia huyo mwalimu aliyejichoma kisa mapenzi? Bwana mpwayungu.
Mkuu kwa nilivyoelewa mimi hapa ni kuwa familia yao ambayo a.k.a yake ni "House of Saud" ndiyo inamiliki kiasi hicho cha utajiri na sio kuwa ni gharama za nyumba/hekalu lao.
Ni gharama sana basi sio zaidi ya USD million 500Kwa wewe tathimini yako inakuambia imejengwa kwa tsh ngapi??
Kutoka wapiWewe jamaa umerudi?
Sahihi kabisa nilitaka kupima upepo wa walimu kama wanajua kiingereza ila ukweli ni kuwa hata pamoja na hivyo iyo pesa ni nyingi kakaMkuu kwa nilivyoelewa mimi hapa ni kuwa familia yao ambayo a.k.a yake ni "House of Saud" ndiyo inamiliki kiasi hicho cha utajiri na sio kuwa ni gharama za nyumba/hekalu lao.
Jamaa alivyosikia ni HOUSE OF SAUD akajua ni nyumba kumbe inaongelewa familia nzima ya kifalme nchini Saudia.πKweli NDIO maana una chuki na walimu ulikua kilaza sana class
Jinsi ulivo kilaza unazani imeongelewa nyumba ya kujenga π
Ebu soma kuelewa sio kukalili
Elon na sio eronMpwayungu Village kumbuka huo ni utajiri wa familia na ukiendelea wameweka utajiri wa mtu mmoja mmoja, Eron Musk anaongoza kwa utajiri individually na si wa kifamilia. Ukiangalia utajiri wa King Salman ni net $18b na Prince Alwaleed bin Tatal ni net $17b ambao hata ukiwajumlisha hawamfikii Eron Musk hata robo mwenye net wealth ya $414.9bππ
Oh mistyping. ThanksElon na sio eron