ChatGPT: Tobias Andengenye ndio DG wa TISS

ChatGPT: Tobias Andengenye ndio DG wa TISS

Tuanze na swali lako kwanza!, je TISS ni kifupi cha Tanzania Insitute........ kama ulivyo andika?
 
Hivi unadhani inafanyaje kazi ?

Inachofanya ni kutafuta majibu yanayoendana na swali lako kwenye database sasa kama habari nyingi unazouliza ni za uongo inamaanisha maswali unayouliza hayapo well documented, Huyu ni kama mtoto anajifunza sasa kama ni garbage in..., tegemea kupata garbage out...
 
Chatgp nilishawahi kubishana nalo siku nzima linadai samatta alitoka yanga ndo akaenda tp mazembe, tulibishana sana nilikua nafanya fun tu nacheka balaa na lenyewe limekomaa vibaya


Kufika jioni likaniomba msamaha


Shenzi!!!
Una muda wa kuchezea
 
Back
Top Bottom