CHATGPT yashtakiwa kwa kushauri kijana huyu ajiue

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wazazi wa Kijana aitwae Adam Raine (16) huko California Nchini Marekani, wameifungulia mashtaka Kampuni ya OpenAI na Mkurugenzi wake Sam Altman wakidai kuwa Akili Mnemba ya ChatGPT (AI) imehusika na kifo cha Mtoto wao ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri juu ya mbinu za kujiua na kumsaidia kuandika mfano wa barua ya kuaga dunia.

Katika malalamiko yaliyowasilishwa Mahakama kuu ya California Jumanne Agost 26 na wazazi wa Raine, yameeleza kuwa Kijana wao kwa muda wa miezi sita alikuwa akiitumia chat boti ya ChatGPT kama Rafiki yake wa karibu na Msiri wake na alihamisha uhusiano wa maisha yake binafsi, Familia, Marafiki na Wapendwa wake kwenda kwa akili mnemba hiyo.

Mashtaka hayo yamekuja baada ya kuwepo kwa mfululizo wa kesi kadhaa zinazodai kuwa chatbots za Akili Mnemba (AI) zimesababisha Vijana kujiumiza na hata kujiua ambapo mwaka jana Mama mmoja kutoka Florida aliishtaka Akili Mnemba ya Character akidai programu hiyo ilichangia kifo cha Mtoto wake mwenye umri wa miaka 14 huku Familia nyingine mbili pia zikiwasilisha kesi zinazofanana na hiyo.

==================================

The parents of a teen who died by suicide after ChatGPT coached him on methods of self harm sued OpenAI and CEO Sam Altman on Tuesday, saying the company knowingly put profit above safety when it launched the GPT-4o version of its artificial intelligence chatbot last year.

Adam Raine, 16, died on April 11 after discussing suicide with ChatGPT for months, according to the lawsuit that Raine's parents filed in San Francisco state court.

The chatbot validated Raine's suicidal thoughts, gave detailed information on lethal methods of self-harm, and instructed him on how to sneak alcohol from his parents' liquor cabinet and hide evidence of a failed suicide attempt, they allege. ChatGPT even offered to draft a suicide note, the parents, Matthew and Maria Raine, said in the lawsuit.

The lawsuit seeks to hold OpenAI liable for wrongful death and violations of product safety laws, and seeks unspecified monetary damages.

An OpenAI spokesperson said the company is saddened by Raine's passing and that ChatGPT includes safeguards such as directing people to crisis helplines.

Source: Reuters, New York Post
 
Hapo hakuna kesi mkuu. Kwani walimshikia kitanzi wakati anajiua? Hapati kitu huyo mzazi. Malezi ya wanaye yamshinde halafu aje kuisingizia akili mnemba? Ebo!
 
Kuna siku huyo AI ChatGBT nilikuuliza kuhusu gramu ya matumizi ya mbolea kwenye alizeti per plant akawa ananiambia ni gram 3 nikamuiliza mbona wengine wanasemaje ni gramu 5? Akasema uko sahihi kabisa ni gramu 5 na kuendelea kuniuliza maswali mengine ya kisengerema.

Baada ya hapo nikagundua hizo AI ni useless kama huna akili zako mwenyewe 😂😂
 
UnShangaa wa 14 kushika simu wakati michepuko kuachia wa miaka 7 simu kuchezea akiwa bizy na uncle wake

Kuna sehemu ya ku-hide baadhi ya apps ambazo zinahusu faragha zako na baadhi ya apps ambazo unaona ni hatari kwa mtoto.

Mimi nikikuachia simu yangu hata kama ni mtu mzima huna utakachofanya zaidi ya kusikiliza muziki, kuchukua picha, redio, basi.
 
Back
Top Bottom