Chato Airport ni kaa la moto lisilozimika kwa CCM na Magufuli. Sasa anaahidi kujenga Airport kama ya Chato kila anakopita...!

Hii airport ipo umbali gani kutoka Chato, Katoro na Geita?

Kuna sehemu nimeona wanaiita geita airport
 
Swali la nyongeza ni lini mama nae ataanza kujenga international airport kijijini kwake Ili wakati wa ramdhani atue kule
 
Mitano tena 😜😜😜
 
Hivo route za ATCL bado zinaenda Shuttle ? Au ndio wameamka na unafiki wao ? Matindi yuko wapi ??
 
Lisu alishasema tangu zamani huu uwanja utakuwa kama Badotile wa Mobuti kule kongo na yametimia pia kuhusu ndege ni hasara nayo yametimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…