Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakufa nyote upinzani bado upo SanaUpinzani ulisha kufa tangu 2015, kilichobaki ni futuhi.
Ni mbali sana ni kama KM 60Hii airport ipo umbali gani kutoka Chato, Katoro na Geita?
Kuna sehemu nimeona wanaiita geita airport
Hii airport ipo umbali gani kutoka Chato, Katoro na Geita?
Kuna sehemu nimeona wanaiita geita airport
Kutoka Geita hadi Chato ni Km 171Ni mbali sana ni kama KM 60
Kutoka Geita hadi Chato ni Km 171
Sasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli.
Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu wakaelewa.
Sasa kama kujifariji na kujidanganya, kila mahali anapopita anamwaga ahadi za kujenga Chato Airports kote kote.
Katoa ahadi ya kuwajengea Chato International Airport wana Njombe....!!
Katoa ahadi ya kuwajengea CHATO AIRPORT wana Kigoma...!!
Katoa ahadi ya kuwajengea nao CHATO AIRPORT wana Bukoba, Karangwe na kotekote anakopita....!!
Leo tena ahadi ni za kujenga CHATO AIRPORT ni za kumwaga kila mji na kijiji atakachopita.
Ukistaajabu ya Mussa, basi subiri uyaone ya Firauni. Huyu ndiye Magufuli bwana, msukuma jeuri asiyejali chochote....!!
Chato Airport kweli ni kaa la moto, halizimiki hata kuleta kikosi cha Zimamoto cha Ukonga...
Kuzimika kwake, ni mtu kufukuzwa atoke kwenye ofisi za umma, baaaaasi....
Ni katika barabara itokayo Geita kwenda Chato? Ni kweli bora ungejengwa GeitaNi mbali sana ni kama KM 60
Alishaweka traffic lights kijijini ambako hakuna magari. Sasa hivi wasukuma wanazishangaa zikibadili rangi .Inavyoelekea atatoa ahadi za kujenga flyover kila kijiji hivi karibuni.
😂 😂Disco lightsAlishaweka traffic lights kijijini ambako hakuna magari. Sasa hivi wasukuma wanazishangaa zikibadili rangi .
Nani apeleke bombardier Usweken?Hivo route za ATCL bado zinaenda Shuttle ? Au ndio wameamka na unafiki wao ? Matindi yuko wapi ??
Ni mbali sana!! three hours drive!!, bora uwanja ungejengwa GeitaKutoka Geita hadi Chato ni Km 171
Chato - Geita 116kmHii airport ipo umbali gani kutoka Chato, Katoro na Geita?
Kuna sehemu nimeona wanaiita geita airport
Lisu alishasema tangu zamani huu uwanja utakuwa kama Badotile wa Mobuti kule kongo na yametimia pia kuhusu ndege ni hasara nayo yametimiaSasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli.
Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu wakaelewa.
Sasa kama kujifariji na kujidanganya, kila mahali anapopita anamwaga ahadi za kujenga Chato Airports kote kote.
Katoa ahadi ya kuwajengea Chato International Airport wana Njombe....!!
Katoa ahadi ya kuwajengea CHATO AIRPORT wana Kigoma...!!
Katoa ahadi ya kuwajengea nao CHATO AIRPORT wana Bukoba, Karangwe na kotekote anakopita....!!
Leo tena ahadi ni za kujenga CHATO AIRPORT ni za kumwaga kila mji na kijiji atakachopita.
Ukistaajabu ya Mussa, basi subiri uyaone ya Firauni. Huyu ndiye Magufuli bwana, msukuma jeuri asiyejali chochote....!!
Chato Airport kweli ni kaa la moto, halizimiki hata kuleta kikosi cha Zimamoto cha Ukonga...
Kuzimika kwake, ni mtu kufukuzwa atoke kwenye ofisi za umma, baaaaasi....
Kuita Geita Airport ilikuwa njia ya kuua so tu ili tusimaindi sana Chattle International Airport.Hii airport ipo umbali gani kutoka Chato, Katoro na Geita?
Kuna sehemu nimeona wanaiita geita airport