Chato: Jesca Magufuli hana ushawishi. Maandamano yamejaa greenguard wa CCM wenye njaa

Chato: Jesca Magufuli hana ushawishi. Maandamano yamejaa greenguard wa CCM wenye njaa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Watu wapo busy stand ya zamani wanapiga soga kwenye vijiwe vya kahawa na kile kijiwe maarufu cha mafundi viatu.

Hawana habari na maandamano ya Jesca na CCM iliyojaa greenguard waliovaa buti zilizopauka

Kwa ujumla hana ushawaishi na hawezi kuisaidia CCM
 
Sidhani kama ccm kwasasa ina ushawishi popote.. Labda kuzimu
 
Babake mwenyewe alikuwa Gaidi, muuaji, ukimkosoa tu unaondoka. No wonder maandamano yamefanywa na greed guard na wana familia.. Bado damu zinamlilia huko huko aliko...muasisi wa utekaji na utesaji.
 
Watu wapo busy stand ya zamani wanapiga soga kwenye vijiwe vya kahawa na kile kijiwe maarufu cha mafundi viatu.

Hawana habari na maandamano ya Jesca na CCM iliyojaa greenguard waliovaa buti zilizopauka

Kwa ujumla hana ushawaishi na hawezi kuisaidia CCM
umekasirikia jambo hilo la Jesca ukiwa kijiwe gani gentleman? :pedroP:
 
Bora angeolewa tu siasa zilienda na baba yake, japo kabeba sura yake asingekosa kijana wa kutumia jina la baba yake, term ya mamaduro akimaliza anaenda naye na kufutika kwa ramani rasmi
Point mdau..
 
Hata uwezo wake ni Mdogo sana wa kupambanua mambo, u can't compare Jesca ( academically dwarfs) na binti wa Raila (Winnie) she is very smart upstairs
Kwa kweli Jesca mimi binafsi huwa simuelewi kumbe vitu vingine ni Inborn characters huwezi kuforce though sometimes education can sharpen your ability but for some people is not easy to change.
Kwenye competitive free, fair and democratic elections, Jesca will never see light of the day, ( can't carry the day)
 
Back
Top Bottom