Chato: Jesca Magufuli hana ushawishi. Maandamano yamejaa greenguard wa CCM wenye njaa

Chato: Jesca Magufuli hana ushawishi. Maandamano yamejaa greenguard wa CCM wenye njaa

umekasirikia jambo hilo la Jesca ukiwa kijiwe gani gentleman? :pedroP:
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Kwa yaliyotokea OCT29 hata afufuke Nyerere aweke mkutano kupitia CCM hakuna atakeyeshawishika..!!

Kifupi veggies wote hawana ushawishi kwa sasa kwa wananchi..!!
 
Back
Top Bottom