Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Anatembelea upepo wa MSHUA wake ila ni EMPTY SET.Watu wapo busy stand ya zamani wanapiga soga kwenye vijiwe vya kahawa na kile kijiwe maarufu cha mafundi viatu.
Hawana habari na maandamano ya Jesca na CCM iliyojaa greenguard waliovaa buti zilizopauka
Kwa ujumla hana ushawaishi na hawezi kuisaidia CCM
Mzee hakuwaweka vijana zake siasani, wao tu wanafosi kwa sababu baba alikua.Wanatofautiana kwa mbali na Mzee wake. Hawezi kuwa na ushawishi.
JPM alikuwa muongeaji na mpenda kile anachokiamini
Sidhani kama ccm kwasasa ina ushawishi popote.. Labda kuzimuWatu wapo busy stand ya zamani wanapiga soga kwenye vijiwe vya kahawa na kile kijiwe maarufu cha mafundi viatu.
Hawana habari na maandamano ya Jesca na CCM iliyojaa greenguard waliovaa buti zilizopauka
Kwa ujumla hana ushawaishi na hawezi kuisaidia CCM
Umeniwahi maana hapa km watu wanapiga udaku tu hakuna picha hakuna video nini hiki hata live kutoka Chato hakuna?watu watakuja kuuliza picha au kideo kipowapi, watu wote hatupo chato
hebu atuletee hiyo picha au ka video bwana,, asipost vitu nusu nusuUmeniwahi maana hapa km watu wanapiga udaku tu hakuna picha hakuna video nini hiki hata live kutoka Chato hakuna?
Hata waliyosoma nayeMimi huwa sishabikii ushawishi bali nashabikia utenda kazi wa mtu. Lakini jesca bado utenda kazi wake na ushawishi uko chini. Jina la JPM analitumia ila halijampaisha kiviile.
Mzee hakuwaweka vijana zake siasani, wao tu wanafosi kwa sababu baba alikua.
umekasirikia jambo hilo la Jesca ukiwa kijiwe gani gentleman?Watu wapo busy stand ya zamani wanapiga soga kwenye vijiwe vya kahawa na kile kijiwe maarufu cha mafundi viatu.
Hawana habari na maandamano ya Jesca na CCM iliyojaa greenguard waliovaa buti zilizopauka
Kwa ujumla hana ushawaishi na hawezi kuisaidia CCM
Umenena vema.....Sidhani kama ccm kwasasa ina ushawishi popote.. Labda kuzimu
Point mdau..Bora angeolewa tu siasa zilienda na baba yake, japo kabeba sura yake asingekosa kijana wa kutumia jina la baba yake, term ya mamaduro akimaliza anaenda naye na kufutika kwa ramani rasmi