Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Prospectus ya UDSM ya mwaka 2006 kifungu 2.7.7 kilisema mwanafunzi wa full time wa PhD minimum muda wa kumaliza ni miaka 3 na mwanafunzi wa kutoka kazini ni miaka 5. Ilikuwaje Magufuli wa part time aanze 2006 na kuhitimu 2009? Hakuwahi kujibu hiloUliona nini? Walikuwa wanaandikia kwenye corridor au ni nini hasa ulichoona? Ongea kama msomi.
Lile chapisho la Thesis alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program linaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"
Supervisor wake alikuwa Prof Bucheschwaija ambaye alimsimamia Dr J Y Phillip as well.
Mwaka 2016 alipopata uRais wa Tanzania akampa Prof Bucheschwaija uwenyekiti wa Bodi ya TIB kama kumpoza kwa kwa kazi aliyomlinda kwenye fake PhD.
Acheni kutetea mediocrity