shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Andika ulete uzi hapa tusomeNipo kwenye kuandaa kitabu cha kuelezea mazuri yake ili mizani ibalance, Jiwe hakua mbaya 100%, mazuri yapo mengi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika ulete uzi hapa tusomeNipo kwenye kuandaa kitabu cha kuelezea mazuri yake ili mizani ibalance, Jiwe hakua mbaya 100%, mazuri yapo mengi tu.
Hakika Magufuli alikuwa janga la nchi hii.I am the state. Kitabu kizuri cha kujifunza madhara halisi ya ukosefu wa utawala bora.
U4= 1. Uthubutu 2. Ushupavu 3. Ubinafsi 4. Ukabila
Get ready!Andika ulete uzi hapa tusome
Ukigusia upanuzi wa barabara mbezi-kibaha unaibua maumivu tena[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]pale ndipo mahufuli alipoonyesha dhahiri kua na roho ya kishetani,kidikteta, kiuuaji.Sawa Tuendelee kuaainisha hasara, daraja la Kijazi-Ubungo, stand ya Magufuli mbezi, upanuzi wa barabara hadi kibaha, ujenzi na uhamiaji makao makuu dodoma
a sasa hiyo hovyo ya Dodoma. Wizara nyingi hazina majengo na watendaji wengi wa serikali hawana nyumba. Balozi za nje hazina majengo Dodoma. Dar imebaki kuwa makao makuu. Stendi ya Magufuli haina mpangilio mzuri imebaki kuwa kama Kariakoo. Daraja la Ubungo ni hadhi ya chini mahali kama pale ni design ya kukurupuka ona madaraja ya Kenya yalivyo viwango.Sawa Tuendelee kuaainisha hasara, daraja la Kijazi-Ubungo, stand ya Magufuli mbezi, upanuzi wa barabara hadi kibaha, ujenzi na uhamiaji makao makuu dodoma
Taratibu bila hasira tuendelee kuwatoa kwenye dimbwi la UJINGA Watanzania wengi ambao waliibgia kwenye propaganda za uwongo za Magufuli.Duniani kuna mengi. Aanalinganisha chato Airport na songwe Airport? Kisa katajwa John. John alifanya mambo kwa propaganda nyingi hata wajinga wengi kuamini kumbe yalikuwa maigizo. John
Hakuna mabaya yasiyo na uzuri.Binafsi nakushukuru sana kwa kupandisha uzi huu hapa. Nilisoma kupitia mwananchi online.
Nimependa ili wale wanaokaa na kusifiana hapa wajue kwamba kile KIKARAGOSI CHAO KILIKOSEA MAMBO MENGI SANA
Wewe huna kitu kichwani zaidi ya mzigo wa nywele. Nenda kasome tena post yangu #85.Sasa wewe kuwepo kwa uwanja wa ndege Chato ambao unahudumia mpaka mkoa wa Geita huwa unateseka nini? ilihali ni wilaya iliyopo ndani ya mkoa wa Geita na sio kama Songwe Mkoa alafu Mbeya nae anaitegeea Airport ya Songwe?
Sawa tu, wewe mwenyewe ni sexless hata hututishi sukuma gang.Wapi kinapatikana kitabu hiki?
Kumbukeni na mm nakaribia kutoa kitabu changu kiitwacho "MAGUFULI, The Master of Chaos".
Bora mkuu unaona mbali.Nipo kwenye kuandaa kitabu cha kuelezea mazuri yake ili mizani ibalance, Jiwe hakua mbaya 100%, mazuri yapo mengi tu.
Mkoa wa Songwe hauna Airport. Airport kubwa huko Nyanda za Juu Kusini yenye kiwango cha runway ya kimataifa iko mkoa wa Mbeya ila inaitwa Songwe International Airport. Imechukua jina Songwe kwa vile ni jina la eneo na mto mkubwa unaotenganisha Mkoa wa Mbeya na Songwe.Nimezungumzia Mkoa Songwe! labda uniambie GDP ya Songwe sio Mbeya
Kilipojengwa kiwanda cha tumbaku Morogoro wanalima tumbaku.Hapana. Nachukia kwamba Magufuli alitumia mabilioni ya watanzania kujenga miradi mikubwa ambayo sasa inakufa kwa sababu haikustahi kujengwa Chato.
Sawa sawa....Ni somo kubwa sana kwa nchi hii, kwa kizazi cha sasa na vingi vijavyo.
walitabili ### walitabiri. Shuleni ulienda kusomea ujinga? (in Faiza Foxy Voice).Watu walitabili, lakini utabili ukatimia kabla hata mizizi haijaota
Sawa sawaNipo kwenye kuandaa kitabu cha kuelezea mazuri yake ili mizani ibalance, Jiwe hakua mbaya 100%, mazuri yapo mengi tu.
Yaani Mzee Mwanakijiji unamuita mtoto wa juzi ?....acha utani aisee.Wanaomsifia Magufuli ni watoto wa juzi, watu waliokuwa hawana access ya taarifa na watu wazima ambao walikua na maslahi na ujinga wake.
Kwa sisi wengine tunamfahamu tangu akiwa mbunge na waziri na madudu take aliyoyafanya. Tunakaa kimya tu
Poor Saanane....Hakuna cheti feki kama Magufuli! Ninajua jinsi akina Dr Akwilapo walivyomfanyia PhD yake pale UDSM department of chemistry tukiwa tunaona!
Nimeweka categories tatu MpwaYaani Mzee Mwanakijiji unamuita mtoto wa juzi ?....acha utani aisee.
Tunaendelea na hasara: kuwanyima kusoma wasichana wenye mimba, kukandamiza haki za binadamu kwa kupinga mashogaOn
a sasa hiyo hovyo ya Dodoma. Wizara nyingi hazina majengo na watendaji wengi wa serikali hawana nyumba. Balozi za nje hazina majengo Dodoma. Dar imebaki kuwa makao makuu. Stendi ya Magufuli haina mpangilio mzuri imebaki kuwa kama Kariakoo. Daraja la Ubungo ni hadhi ya chini mahali kama pale ni design ya kukurupuka ona madaraja ya Kenya yalivyo viwango.