upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Unafananisha Tunduma,Mlowo,Vwawa na Chato au sio?Sasa jamani chato ikiwa mkoa kuna lipi la maana ambalo watanzania wengi watalikosa? Songwe ni moja ya mikoa michanga sana hamjalalamika kuundwa kwake, iweje Hiyo chato, au kisa Rais magufuli anatokea huko?
Ombeni Katiba mpya na kilimo kinachoajiri almost 89% of the whole population kiboreshwe. Hizi reasonable projects msihangaike nazo.
Pia kumbuka Songwe pamoja na kuwa na sifa zote za kuhitaji uwanja wa ndege lakini haina hicho kitu lakini hicho kijiji ndo kina stahili hayo yote tena ghafla na kwa fujo..