Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Sasa jamani chato ikiwa mkoa kuna lipi la maana ambalo watanzania wengi watalikosa? Songwe ni moja ya mikoa michanga sana hamjalalamika kuundwa kwake, iweje Hiyo chato, au kisa Rais magufuli anatokea huko?

Ombeni Katiba mpya na kilimo kinachoajiri almost 89% of the whole population kiboreshwe. Hizi reasonable projects msihangaike nazo.
Unafananisha Tunduma,Mlowo,Vwawa na Chato au sio?

Pia kumbuka Songwe pamoja na kuwa na sifa zote za kuhitaji uwanja wa ndege lakini haina hicho kitu lakini hicho kijiji ndo kina stahili hayo yote tena ghafla na kwa fujo..
 
Ww utaathilika na nn ukiwa mkoa inaonekana hutaki mikoa mingapi imeanzishwa uliwahi kuleta umbea humu
 
Labda, nina miaka kama mitatu sijapita pita pande hizo...chato ninayoikumbuka mimi maendeleo yapo kidogo barabarani yani zile taa zinazoongoza pikipiki na nyumba za wafanyakazi wa halmashauri pamoja na ile hoteli ya jiwe....baada ya hapo ni vinyumba tu vya udongo
Chato imeendelea kuliko bmlo
 
Labda, nina miaka kama mitatu sijapita pita pande hizo...chato ninayoikumbuka mimi maendeleo yapo kidogo barabarani yani zile taa zinazoongoza pikipiki na nyumba za wafanyakazi wa halmashauri pamoja na ile hoteli ya jiwe....baada ya hapo ni vinyumba tu vya udongo
Baada ya dodoma tunahamia kijenga chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hata ikiwa nchi poa tu. Mbona Lesotho imo ndani na life inaenda tu.
 
Labda waunganishe biharamlo ngara na huko chato lakini muleba ni ngumu sana kuirudisha huko labda kama watamega kidogo tu. Yaa huyu jamaa akija kumaliza muda wake tutakuwa tumeona mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom