upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Unafananisha Tunduma,Mlowo,Vwawa na Chato au sio?Sasa jamani chato ikiwa mkoa kuna lipi la maana ambalo watanzania wengi watalikosa? Songwe ni moja ya mikoa michanga sana hamjalalamika kuundwa kwake, iweje Hiyo chato, au kisa Rais magufuli anatokea huko?
Ombeni Katiba mpya na kilimo kinachoajiri almost 89% of the whole population kiboreshwe. Hizi reasonable projects msihangaike nazo.
Neda sebboBarungi kumaso
[emoji23] pole mkuuYaani Muleba Yangu iunganishwe na hawa wanyam*****nge, BIG NOOOOO!
Muleba yako ww endelea kula ugali na sukari guruYaani Muleba Yangu iunganishwe na hawa wanyam*****nge, BIG NOOOOO!
Wewe ni raia wa chato eti??Ww utaathilika na nn ukiwa mkoa inaonekana hutaki mikoa mingapi imeanzishwa uliwahi kuleta umbea humu
Biharamulo inafaa iungane na chato maana hata zamani ilikuwa wilaya moja na ni karibu Pia na wala watu wake ni tofauti Sana na watu wa bukoba kimaendeleo,kielimu nk
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Chato imeendelea kuliko bmloChato ndio irudi biharamulo
Chato imeendelea kuliko bmlo
Baada ya dodoma tunahamia kijenga chatoLabda, nina miaka kama mitatu sijapita pita pande hizo...chato ninayoikumbuka mimi maendeleo yapo kidogo barabarani yani zile taa zinazoongoza pikipiki na nyumba za wafanyakazi wa halmashauri pamoja na ile hoteli ya jiwe....baada ya hapo ni vinyumba tu vya udongo
πππππππππZa juu ya carpet je? Wewe mwongo Rais Magu ni bonge ya muadilifu hawezi fanya hayo unayomsingizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije siku moja ukahamisha goli, kuna watu wa kuwekea dhamana...Za juu ya carpet je? Wewe mwongo Rais Magu ni bonge ya muadilifu hawezi fanya hayo unayomsingizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakua mjita kwa misifa ya kijingaWanja!!??