Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Hv dodoma haibebek ht kwa Treni iende chatus
 
Lawama zote kwa Jakaya kwa kutokamilisha Bandari ya Bagamoyo.

Magufuli hajawai hata ku-mention.
 
hakuna shida maendeleo yasogee karibu kwa watu, ruangwa hapana mkoa uwe masasi ruangwa, nachingwea, nanyumbu na tunduru ziwe ndani ya mkoa wa masasi

Mkapa alishajua Mtwara kuchele ndio sababu akampigia Promo jirani yake wa Ruangwa ili waanzishe Mkoa wao
 
the future is exciting.

tunasubiri kiwanda kikubwa kujengwa huko ili kukipa nguvu kiwanja cha ndege kilichopo huko.

pia reli ikifika mwanza ni imani yangu itavutwa mpka mkoa mpya.

time will tell us.
 
Back
Top Bottom