Mikoa na Wilaya nyingi sio chachu ya maendeleo hata Marekani kwa miaka nenda rudi wana majimbo 50 na wilaya 435 tu.
Kuongeza hayo siku zote ni kuwaongezea walipa kodi mzigo, hakuna manufaa yoyote wananchi wanayopata kutokana na wingi wa mikoa au wilaya.
Utasikia "Wajinga" wakisema eti ni kuwasogezea wananchi huduma karibu.!! Huduma gani? Wananchi hawana shida na DC au sijui RC bali wana shida na Maji, Afya, Elimu, Miundo mbinu na kuwezeshwa ktk kuboresha shughuli za kilimo. That's All, na hayo hayahitaji uongeze mikoa au wilaya eti ndio zipatikane.
Inayefikiria ktk kuongeza sijui mikoa/wilaya hana lolote ni akili ndogo tu.