figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Alichagua fungu jemaPengo alikuwa rafiki wa karibu wa Magufuli
Siungi mkono hoja yako japo namkubali MagufuliKanisa Katoliki lianze mchakato wa kumfanya kuwa mwenye heri kama njia ya awali ya kutaka kumtakatifuza. Hatimaye aje aitwe Mwenye Heri Yohana Pombe Magufuli wa Chato.
Kuna tofauti kati ya kiongozi na mtawala.
Hakika Dr. Magufuli ulikuwa Kiongozi bora wa Taifa hili.
Hakika hakuna mkamilifu chini ya Jua.
Basi baraka zake Mungu Mwenyezi ziwe daima nawe.
[emoji120]
Siungi mkono hoja yako japo namkubali Magufuli
What is the difference between a ruler and a leader?Tofauti kati ya kiongozi na mtawala ni ipi?
amefanya Jambo jema🙏Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Leo.
Pengo leo Machi 16, 2023 ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita aliyefariki Dunia Tarehe 17 Machi 2021
View attachment 2554194View attachment 2554193
View attachment 2554183
View attachment 2554186
View attachment 2554187
Mkapa kasahaulika sana.Hivi Mzee Benjamini Mkapa mmoja wa marais bora wa Africa aliwakosea nini wa Tanzania ?
ni mmoja wa Ma Rais bora sana lakini ni Rais asieadhimishwa kwa viwango sahihi tangu akiwa hai?
Mzee Benjamini Mkapa atakuja kuadhimishwa baadae sana kizazi hiki cha famasihala sijui fausenge kitapoisha
Sio magufuli TU pia wa ccm na pengo ni adui wa TAIFAPengo alikuwa rafiki wa karibu wa Magufuli
RIP JPM