n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Kwa hiyo?Pengo alikuwa rafiki wa karibu wa Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo?Pengo alikuwa rafiki wa karibu wa Magufuli
What is the difference between a ruler and a leader?
ni mmoja kati ya binadamu waliofanyia mengi sana Nchi yake tena bila ya kupenda KikiMkapa kasahaulika sana.
Nadhani hapa ndipo palipo na siri kubwa inayowahusu waTanzania kwa ujumla wao.Hivi Mzee Benjamini Mkapa mmoja wa marais bora wa Africa aliwakosea nini wa Tanzania ?
ni mmoja wa Ma Rais bora sana lakini ni Rais asieadhimishwa kwa viwango sahihi tangu akiwa hai?
Mzee Benjamini Mkapa atakuja kuadhimishwa baadae sana kizazi hiki cha famasihala sijui fausenge kitapoisha
Kwani ni nani anakumbuka kuwa Kikwete aliwahi kuwa rais wa nchi hii; pamoja na kwamba bado yu hai, akifa je?Mkapa kasahaulika sana.
Ushahidi anao MunguAlichagua fungu jema
Nimekuelewa sana Kalamu,Kwani ni nani anakumbuka kuwa Kikwete aliwahi kuwa rais wa nchi hii; pamoja na kwamba bado yu hai, akifa je?
Hili ndilo linalowapambanua waTanzania ni watu wa aina gani.
Anayetaka kuwa kiongozi wa kukumbukwa na waTanzania hana budii ajifunze na kujuwa mambo wanayoyathamini waTanzania kwa viongozi wao.
Kaenda kumlilia rafiki yakeKwa hiyo?
Kwa nini mkuu, kwa nini mchakato wa kumtakatifuza usianze hali yeye akioneka kuwa anastahili sifa hizo kisiasa ndani ya CCM!Siungi mkono hoja yako japo namkubali Magufuli
kama nakuona vile unavyopigwa na jua kali kuenda mpokea mtetezi wako Tundu akitoka ubejgihi na wewe kurudi nyumbani na daladala ukiamini ipo siku mtetezi na mkombozi wako atakuja kubadilisha maisha yako baada ya mtu fulani "kubana pesa"Pengo ??? [emoji23][emoji23][emoji23] Tumshukuru M/mungu kwa kuliponya Taifa.., hayo mengine ni msafara wa siafu tu
Nikuambie tu bila kukuficha, siku magufuri amekufa nilikesha kwa furaha..siku hiyo hata vibarua wangu wanao chimba dhahabu niliwapa ofa ya kula kunywa na mapumziko ya siku 3... yule kiumbe alikuwa shetwanikama nakuona vile unavyopigwa na jua kali kuenda mpokea mtetezi wako Tundu akitoka ubejgihi na wewe kurudi nyumbani na daladala ukiamini ipo siku mtetezi na mkombozi wako atakuja kubadilisha maisha yako baada ya mtu fulani "kubana pesa"![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thubutuuuuu [emoji23]Amefufuka huyo rafiki wa Mullah Omar???
Kaenda kumlilia rafiki yake
Amekwenda kufanya nini huko?!Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Leo.
Pengo leo Machi 16, 2023 ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita aliyefariki Dunia Tarehe 17 Machi 2021
View attachment 2554194View attachment 2554193
View attachment 2554183
View attachment 2554186
View attachment 2554187
Wabongo bhana kujifanya tunajua..What is the difference between a ruler and a leader?