ngoshakolya
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 118
- 98
Hovyo kabisaMsamehe bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyo kabisaMsamehe bure
Hivi huyu Pengo si kuna kipindi aliukana waraka wa baraza la maaskofu uliokuwa uahimiza utawala wa sheria na halki za binadamu?Pengo alikuwa rafiki wa karibu wa Magufuli
, Hata mara nyingi ndiye alitumika kuwaombea Msamaha wale wote waliokorofishana na jiwe
Vuta subira kidogo.Kanisa Katoliki lianze mchakato wa kumfanya kuwa mwenye heri kama njia ya awali ya kutaka kumtakatifuza. Hatimaye aje aitwe Mwenye Heri Yohana Pombe Magufuli wa Chato.
.Kanisa Katoliki lianze mchakato wa kumfanya kuwa mwenye heri kama njia ya awali ya kutaka kumtakatifuza. Hatimaye aje aitwe Mwenye Heri Yohana Pombe Magufuli wa Chato.
Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Leo.
Pengo leo Machi 16, 2023 ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita aliyefariki Dunia Tarehe 17 Machi 2021
View attachment 2554194View attachment 2554193
View attachment 2554183
View attachment 2554186
View attachment 2554187
Rest in Peace the hideout rock of the oppressed refugees, the marginalized, and those maliciously and unjustifiably were intently undermined etc treated. Your mission was full of lesson packages for decades to come📍Chato
Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo leo ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli nyumbani kwa marehemu kijijini Chato mkoani Geita.
View attachment 2554827
Magufuli aliligawa taifa na ili kuulinda udhalimu wake na tabia zake za Kihutu aliasisi kikundi cha chawa(Sukuma gang) cha kumpigia debe 24/7 hivyo usishangae haya unayoyaona mitandaoni, hapa lile Hutu linatukuzwa zaidi ya maraisi wengine waliokwishafariki(JKN na BWM) kana kwamba yeye ndiye alikuwa bora zaidi yao. Hii inapelekea wahanga wa udhalimu wake nao kulipuka kwa hasira kwani kuona mtesi wao akipambwa huku ukatili na udhalimu wake vikifichwa, hii haitasaidia kwani waliodhulumiwa, waliojeruhiwa, waliopotelewa na ndugu zao, waliobomolewa nyumba bila ya fidia na waliotiwa ulemavu wengi wao wapo na wataendelea kuuanika udhalimu wake.Hivi Mzee Benjamini Mkapa mmoja wa marais bora wa Africa aliwakosea nini wa Tanzania ?
ni mmoja wa Ma Rais bora sana lakini ni Rais asieadhimishwa kwa viwango sahihi tangu akiwa hai?
Mzee Benjamini Mkapa atakuja kuadhimishwa baadae sana kizazi hiki cha famasihala sijui fausenge kitapoisha
Duh 👀..huenda Pengo anajua walipo Ben Saanane, Azory Gwanda, na wengine waliopotezwa na Jpm.
..huenda anawajua waliompiga risasi Tundu Lissu.
..Zipo taarifa kwamba Pengo aliongea na Magufuli na "alimsafisha" madhambi yake kabla hajafariki.
Mwandiko wako unaonyesha hujala tangu juzi na hujui utakula nini.Niko huku chunya mkuu , njoo ujifunze namna dhahabu inavyo patikana .. usifikiri mm ni sawa na ww muuza genge
Mkuu hii kitu inakuwaje? Kiongozi au hata mwananchi wa kawaida akiwa mpole sana, mwenye kutenda wema na haki miongoni mwa watu, husahaurika upesi sana kuliko kinyume chake. Leo Hitiler hajasaulika na wengine wengi! Jamani hii inakuwa vipi?Mkapa kasahaulika sana.
[emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si ajabu mke wako pia anaomba Mungu ufe na wewe ili anenepe kama Mama Janeth.
Huyo pengo na marehemu ni wote ni wafu tu, mmoja ni mfu aliye hai na mwingine ni mfu aliyekufa. Natamani hata na yeyey pengo aanguke hapo amfuate mungu wake wa Chato.
Umeniudhi sanaApumzike kwa amani zote
Alivyokuwa monster Nani ampe utakatifuKanisa Katoliki lianze mchakato wa kumfanya kuwa mwenye heri kama njia ya awali ya kutaka kumtakatifuza. Hatimaye aje aitwe Mwenye Heri Yohana Pombe Magufuli wa Chato.
Kanisa Katoliki lianze mchakato wa kumfanya kuwa mwenye heri kama njia ya awali ya kutaka kumtakatifuza. Hatimaye aje aitwe Mwenye Heri Yohana Pombe Magufuli wa Chato.