Chato pajengwe Chuo Kikuu cha Afya kama MUHAS


Ka mwamshe ajenge sw
 
Fully nonsense
 
Butiama,na Lupaso Kuna hospitali Kama MIHAS? MATAGA bwana!!!
 
Naona mkuu umesahau kwa sasa zungumzia Zanzibar.
enzi ya Chattle imeisha
 
Naona ulikua umelala sasa umeamka.

Kwa taarifa yako mfalme meko hayupo tena. Huo ujinga sahau.
 
Mwandiko kama wa Paskali Njaa...huu!

Kwakweli kwanini isiwe Kigoma au Katavi huko?? Hebu punguzeni mahaba jamani!
Pole navuruga mada,
Bora tuseme Zanzibar wajenge hospital na chuo kikubwa, coz kuna watu wengi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mama samia sio mjinga kama wewe,chato itabaki kua pori la fisi n mataga
 
Mpaka magufuli afufuke, agombee urais tena, ashinde ndio itafanyika hivyo.
 
nilisahau kuhusu Mtwara, ni sawa kabisa nako pakaboreshwa kuwa na Chuo Kikuu kwa ajili ya Ukanda ule, nazidi kuunga mkono hoja
Chuo kiitwe Mtwara University of Health and Allied Sciences (MUHAS) 😃😃
 

"Chuo cha nini wakati wasomi hawana faida yoyote kwa nchi kama wale wa darasa la saba?" - King Msukuma.
 
Sawa
 
Hawa ndio wale wale waliojenga international airport chato
Sasa panzi ndio wanatua
Mnachezea kodi za wananchi
Ile hela ingemaliza shida ya madarasa nchi nzima
 
Nafikiri Butiama pangefaa zaidi.
Mtoa hoja una ugonjwa wa kudeka.
 
Mataga katika rangi halisi, mlifurahia akina Ben Saanane kushughulikiwa! Sasa mshughulikiaji kashughulikiwa na Mungu mnaanza ujinga ujinga na upuuzi!

Stop adding insult to an injury.... hatujasahau, hatujasamehe!
 
CUHAS si bugando hii, yaan Catholic University Of Health And Allied Science
 
CUHAS - Catholic university of health & allied sciences, Bugando...
 
Kwa kweli kuna haja ya kutafuta matumizi bora ya miundo mbinu kama hiyo kuliko kuiacha ikiharibika bure, kama kutumika kama hospitali ya rufaa inapwaya! Raslimali za umma nyingi zimetumika pale, kwa kukurupuka au la lakini tusiziache zikapotea bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…