Chato: Rais Magufuli atoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano. Asamehe wafungwa 3,973

Chato: Rais Magufuli atoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano. Asamehe wafungwa 3,973

Katika msamaha wa Rais alio utoa kuadhimisha sherehe za muungano JPM amewabadilishia vifungo baadhi ya wafungwa walio hukumiwa kunyongwa.

Hili Jambo la kheri Sana yaani hata pilato hakuwahi kuwa na huu moyo wa huruma. Mungu akubariki Sana

Kati ya Hawa napendekeza walio na miaka zaidi ya 65 na wamekaa miaka zaidi ya 30 wakisubiri kunyongwa mwezi December kwenye sherehe za Uhuru waachie huru.

Pili, wafungwa watakao pewa
msamaha wawekwe chini ya uangalizi kwa miezi sita tabia zao zisiporidhisha warudishwe jela pasipo kusubiri watende uhalifu.
 
Asante Rais wetu Magufuli

Tunasherekea muungano huku tukiwa imara kukabiliana na Mabeberu kwa kila hila
Mabeberu wakati huo huo wakiwakopesha wanaitwa wawekezaji.
Tatizo hamna misimamo and for the record hatujaqa na uchumi wa kupambana na mabeberu.
Lazima tufike level flani ndio tuweze kuwavimbia.. otherwise kwa hii level kwa sasa. Bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Waliokuwa wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa hadi kufa wamebadilishiwa adhabu hiyo".

Nafikiri wamejifunza vya kutosha, ingawa unaweza kuta kati ya hao 256 sio wote waliostahili adhabu hiyo ya kunyongwa hadi kufa.

Wengine pengine Kesi za kusingiziwa tu
 
Back
Top Bottom