Katika msamaha wa Rais alio utoa kuadhimisha sherehe za muungano JPM amewabadilishia vifungo baadhi ya wafungwa walio hukumiwa kunyongwa.
Hili Jambo la kheri Sana yaani hata pilato hakuwahi kuwa na huu moyo wa huruma. Mungu akubariki Sana
Kati ya Hawa napendekeza walio na miaka zaidi ya 65 na wamekaa miaka zaidi ya 30 wakisubiri kunyongwa mwezi December kwenye sherehe za Uhuru waachie huru.
Pili, wafungwa watakao pewa
msamaha wawekwe chini ya uangalizi kwa miezi sita tabia zao zisiporidhisha warudishwe jela pasipo kusubiri watende uhalifu.