Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Muongo huyu hakuna cha karantini wala lockdown hapa chato maisha yanaendelea kma kawaida tu
Mkuu kwanza unapotosha umma!
Nimekuwa nafanya safar kupitia Chato sijaona kitu kama hicho.
Acha ubinafsi watanzania tumefikia pabaya sana hasa kwa kuanza kubaguana kimkoa,kidini,kikanda,kielimu na kisiasa!
Hili jambo halipo wana Jf. Niupotoshaji kama zilivyo taarifa zingine!