Chato wameweka simple lockdown ukiingia au ukitoka lazima upimwe Corona
Yaani chato ukaguzi unafanyika kila wakati watu wanapimwa kila waingiapo ndani ya hicho kijiji ambacho ni kama mkoa wenye green light japo mara nyingi huongezea punda tu maana chato umasikini ni mkubwa sana
Kwanini miji yote isiwe sawa tu? Why chato papendelewe kiasi hicho?Japo ni uamuzi mzuri ila ilitakiwa iwe imefanywa nchi yote maana Tanzania yote sisi ni sawa na hiyo italeta taharuki ya ukabila na ukanda
Sent using
Jamii Forums mobile app