Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mkoa wa Kilimanjaro now ni hivyo hivyo ukifika lazma upimwe kama mkoa uliopo hawafanyi hivyo jua kuna watendaji wamelala, mkuu wa mkoa
Kura zenyewe kwani alipata za wapiga kura basiiii? Yeye kimsingi alipata 20% lkn kina nape wakapiga goli la mkono basi jamaa akaukwaa urais bila kutarajiaAsante kwa taarifa. Kweli tumekosa na tunatubu kwa makosa ya mwaka 2015. Kwanza tulitegemea kuongozwa kutoka Dodoma sana imekuwa tunaongozwa kutoka chattle. Pili yanaendelea kufanyika yale mambo aliyopinga sana baba wa taifa, udini, ukanda,ukabila, nk Juzi tumeona jinsi teuzi za maprofesa wawili mpigo na wengine wengi wote wakitokea kijijini hapo. Tatu tulitegemea kama kuna jambo lenye manufaa kwa taifa kuhusu lockdown basi lifanyike nchi nzima. Jamani upendeleo hadi kwenye lockdown?! Mtu anaamini some kind of lock down works lakini kwa jinsi alivyo na upendeleo basi anakwenda kufanya lock down kwake tu anaacha kwingine bila utaratibu huo. Kama anaamini lockdown inafanya kazi basi atangaze nchi nzima na pia akae kwenye makao makuu ya nchi anapotegemewa kuwepo. Kweli tumekosea.
Haimsaidii mtu yeyote ukiwemo na weweKWANI KUNA MTU ANATESEKA ?.....NA BADO KUNA MITANO MINGINE
Utakufa na stress tu wewe dada! Fanyakazi acha udaku!Asante kwa taarifa. Kweli tumekosa na tunatubu kwa makosa ya mwaka 2015. Kwanza tulitegemea kuongozwa kutoka Dodoma sana imekuwa tunaongozwa kutoka chattle. Pili yanaendelea kufanyika yale mambo aliyopinga sana baba wa taifa, udini, ukanda,ukabila, nk Juzi tumeona jinsi teuzi za maprofesa wawili mpigo na wengine wengi wote wakitokea kijijini hapo. Tatu tulitegemea kama kuna jambo lenye manufaa kwa taifa kuhusu lockdown basi lifanyike nchi nzima. Jamani upendeleo hadi kwenye lockdown?! Mtu anaamini some kind of lock down works lakini kwa jinsi alivyo na upendeleo basi anakwenda kufanya lock down kwake tu anaacha kwingine bila utaratibu huo. Kama anaamini lockdown inafanya kazi basi atangaze nchi nzima na pia akae kwenye makao makuu ya nchi anapotegemewa kuwepo. Kweli tumekosea.
Wewe hata uongo una uamini tu mkuu? Unaingizwa chaka unakubali?Upimaji huo kwa Chato ni sawa na kufukuza upepo jangwani, Chato ina njia za ziwani ambazo hakuna bandari maalumu. Hizo nguvu ziwekwe kwa taifa zima, Kuna nini special kwa Chato?
Sipo Chato inawezekana pia.Wewe hata uongo una uamini tu mkuu? Unaingizwa chaka unakubali?
Unapimwa CORONA au joto la mwili? Joto pekee si uthibitisho wa kuwa na maambukizi ya CORONANipo mkoa wa Kilimanjaro now ni hivyo hivyo ukifika lazma upimwe kama mkoa uliopo hawafanyi hivyo jua kuna watendaji wamelala, mkuu wa mkoa
Mkuu kwanza unapotosha umma!Chato wameweka simple lockdown ukiingia au ukitoka lazima upimwe Corona
Yaani chato ukaguzi unafanyika kila wakati watu wanapimwa kila waingiapo ndani ya hicho kijiji ambacho ni kama mkoa wenye green light japo mara nyingi huongezea punda tu maana chato umasikini ni mkubwa sana
Kwanini miji yote isiwe sawa tu?Why chato papendelewe kiasi hicho?Japo ni uamuzi nzuri ila ilitakiwa iwe imefanywa nchi yote maana tz yote sisi ni sawa na hiyo italeta taharuki ya ukabila na ukanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu aliyekataza maeneo au mikoa mingine kufanya hivyo kama wanavyofanya chato, huku wilayni hata kutangaza kuwa watu wavae mask kwa lazima hawafanyi hivyo bali wanatangaza kufanya usafi ifikapo JumamosiChato wameweka simple lockdown ukiingia au ukitoka lazima upimwe Corona
Yaani chato ukaguzi unafanyika kila wakati watu wanapimwa kila waingiapo ndani ya hicho kijiji ambacho ni kama mkoa wenye green light japo mara nyingi huongezea punda tu maana chato umasikini ni mkubwa sana
Kwanini miji yote isiwe sawa tu?Why chato papendelewe kiasi hicho?Japo ni uamuzi nzuri ila ilitakiwa iwe imefanywa nchi yote maana tz yote sisi ni sawa na hiyo italeta taharuki ya ukabila na ukanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Pilato yupo uko ana wachora tuView attachment 1431992
Umeongea vizuri nikataka nikupe like ila ulivyomalizia chini nikajua kumbe ni machizi tu wale wale.Wanapimwa joto si corona.
Wanajifariji kipumbavu, wakija kuhtuka bichwakomwe anao[emoji16][emoji16]
Shekhe kupima joto ni kujidanganya tu kwani mtu akiona joto liko juu anakunywa panadol kushusha joto akifika kwenye kipimo kinasoma normal temprature....jiulize hata pale JKIA walikuwa wanapimwa lkn siku hadi siku wagonjwa walikuwa wanaongezeka sababu kuu ni hiyo kakaNipo mkoa wa Kilimanjaro now ni hivyo hivyo ukifika lazma upimwe kama mkoa uliopo hawafanyi hivyo jua kuna watendaji wamelala, mkuu wa mkoa