Tetesi: Chato ukiingia au ukitoka unapimwa Corona big up mkoa wa Geita!

Status
Not open for further replies.
Muongo huyu hakuna cha karantini wala lockdown hapa chato maisha yanaendelea kma kawaida tu

 
Huo. Wivu tu.
Kwan mtu ukitaka kupiga deki ama kufagia ndani, unafagia kuanzia mlango wa kutokea nje kwenda chumban kwako ama unafagia kuanzia chumban kwako kwenda nje?
 
Wanapimana JOTO tu nyie mnafikiri wanapima corona. Endeleeni na Mzaha.
 

Hapo mpaka msaada Mkuu



Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Naona kuna nguvu ya mzungu behind
Asante Mkuu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Naona kuna nguvu ya mzungu behind
Asante Mkuu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Exactly iko na expertise nzito toka France Pasteur institute! Wanaweza na ujue wafaransa/wazungu walivyo smart, wameweza kuona kuwa development ikitoka paris, waafrika mtalalamika wakati wa testing kuwa tunawatumia. Ishu ni ndogo tu. Peleka raw materials zote huko tufanyie huko ionekane ni ya kwao! Lakini waulize patent???
 
Unaambiwa kule nyumbani kwa Bwana mkubwa kumepigwa lockdown ya maana. Hakuna mtu kuingia, hakuna mtu kutoka. Si baiskeli wala gari inaruhusiwa. Taratibu zote za LOCKDOWN zinazingatiwa.

Swali: Kwanini Lockdown Chato badala ya Dar?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…