GE2025 Chato: Viongozi wa CCM wanahaha kutafuta usafiri wa kubeba watu toka vijijini ili kumridhisha Rais Samia

GE2025 Chato: Viongozi wa CCM wanahaha kutafuta usafiri wa kubeba watu toka vijijini ili kumridhisha Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nimedokezwa kuwa Viongozi wa CCM akiwemo Dc wa Chato na jopo lake wanaomba msaada kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri ili watu kutoka vijiji mbalimbali wahudhurie mkutano wa Kampeni tarehe 13/10/2025.

Nimedokezwa hii yote inafanyika ili kumridhisha mkuu wa nchi kuwa anakubalika.

Wananchi watasombwa na mgari mbalimbali yakiwemo malori na matrekta toka vijij vya Nyakayondwa, Ilyamchele, kachwamba , kasenga na vingine vingi.

Nipo hapa Stendi ya Zamani nakunywa kahawa.
 
Back
Top Bottom