Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Amani kwenu watumishi wa MUNGU wote
Waislamu wilayani Chato Mkoa wa Geita wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kusaidia kukamilisha ujenzi wa Msikiti wa Al-huda unaojengwa katika Kata ya Muungano wilayani humo.
Ujenzi wa msikiti huo ulianzishwa kwa juhudi za aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli lakini sasa umegeuka kuwa gofu kutokana na ujenzi kusimama kwa zaidi ya miaka mitano.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania kuanzia Novemba 5, 2015 alifariki dunia akiwa madarakani Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena, jijini Dar es Salaam na mwili wake kuzikwa makaburi ya familia yake, yaliyopo Chato, mkoani Geita.
======================
Nb: ivi nyie waislam ivi kweli hamna uwezo wa kujenga msikiti mpaka msubili waarabu na makafiri ndo waje wawajengee jaman, mashehe wenu wenyewe wanaishi maisha ya kusikitisha
Nyie kazi yenu kusifia na kutukuza waarabu tu huku kila mkristo mwenye maendeleo mna muchukia
SAYUNI BOY