Chato wajiapiza 2025/2030 watamchagua Katwale. Kalemani hajaleta mradi wowote tangu Dkt. Magufuli afariki dunia

Daaah 🤔 kwann mnaendelea tokokeza wazalendo wa awamu ya tano? Inasikitisha sana 😪😪
 
kwaniniawe katwale dc wa chato na si mtu mwingine? CCM haipo Tena chato Sasa ni wakati sahihi wa CHADEMA tuuu
 
Amewaletea umeme, amewawekea traffic light, amewawekea taa za barabarani mpaka vichochoroni, nyie watu mnataka maendeleo gani?
 
Kalemani, taletale, jerry, Gwajima,mbunge wa mikumi, supika

wote hao hawarudi bungeni waanze kufungasha
tunajua kwamba figisu za kuwaondoa madarakani viongozi wetu bado zinaendelea
 
Kwa hali iliyopo sasa ikiendelea, itakuwa rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko Kalemani kutoboa ubunge chato 2025. Labda atafute jimbo jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…