Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Hata mbuyu ulianza kama uyoga!!

Serengeti, Ngorongoro, Mikumi na manyara hivi zilianzaje mkuu?
Before kuwa hifadhi za taifa. Zilikuwa hifadhi za misitu. Enzi za ukoloni. Baadhi zilipandishwa hadhi na mkoloni mwenyewe. Zimekuwa hapo muda mrefu.. na hizo ndio icon za tanzania.
Burig chato itachukua muda kuja kufikia level za kina serengeti ambao ni giants
 
Speed kubwa ya kila kitu Chato inawezekana hana mpango wa kubadili katiba hivyo miaka hii minne 4 asiwe na deni kwao.
 
Tangazeni Chato iwe mji mkuu wa nchi tuelewe moja!!
 
Kwa nini zisifutwe sasa hivi ushahidi wa madudu yao ukiwa bado moto.
Utawala uliopo utawakingia. Kumbuka hata PhD ya Meko ya maganda ya korosho ni plagiarism ya mtu mwingine. Ben Saanane alifuatilia akauliwa.
 
Umesahau,chato yajengwe makao makuu ya kanisa katoliki,ili papa francis ahamie chato
 
Acha uongo,hizo mbuga ni za asili wala hazikuwahi kuhamishiwa wanyama kwenda kuanza maisha!
 
Mimi kijijini kwetu ni tulivu kwa sababu hakuna kelele za magari kupita mara kwa mara na kuna mwambao wa ziwa victoria, kwa hiyo na penyewe pafanywe makao makuu ya kanda ya kitovu cha utalii?
 
Mimi kijijini kwetu ni tulivu kwa sababu hakuna kelele za magari kupita mara kwa mara na kuna mwambao wa ziwa victoria, kwa hiyo na penyewe pafanywe makao makuu ya kanda ya kitovu cha utalii?
Halafu Chato ikiwa jiji,huo utulivu bado utakuwepo?
 
Yaani siamini nachokisoma, sijui tulilogwa na nani, mtu mzima na akili zake anasema kuna utalii wa maji! Mbona yapo dunia nzima?

Huyo alietuloga sasa hivi amekaa mahali anatucheka kweli.
...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Aisee nchi itanyooka kweli kweli kama maji kutulia nacho ni kivutio!!
 
Bado kuandika historia ya Jiwe na maajabu saba yaliyotokea siku aliyozaliwa, halafu kufanya kituo feki cha utalii wa kwenda kuangalia alipozaliwa Jiwe.

Watapiga hela ndefu.

Watu wataenda kuhiji kijijini kwa mtume mtukufu Jiwe kama Mecca.
 
Bado kuandika historia ya Jiwe na maajabu sqba yaliyotikea siku aliyizqliwa, hqlafu kufanya kituo feki cha utalii wq kwenda kuangalia alipozaliwa Jiwe.

Watapiga hela ndefu.

Watu wataenda kuhiji kijijini kwa mtume mtukufu Jiwe kama Mecca.
Mzee Mwanakijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…