Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
AiseeSijui huyu Ndumbaro ana PhD ya ushuzi? Kwani hata kama Magufuli alikupa ubunge wa bure na uwazirí wa utalii lazima alipe fadhila kwa kujipendekeza kizembe namna hiyo?
Zote alizotoa kama sababu za Chato uwa kanda ya Utalii ni pumba tupu. Hamna hata moja inayozidi maeneo mengine kwenye kanda ya ziwa.
Hawa akina Ndumbaro baada ya utawala huu wa Magufuli ni moja kati ya mambo tutaomba vyuo vilivyowapa hizo PhD wazi NULLIFY, yaani WAZIFUTE
Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app