Chato yazidi kuneemeka; Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa

Nimecheka kama mjinga...umenikumbusha mbali sana,sijui hii kitu iliishia wapi
... Kiongozi nchi hii magamba wamekuja na drama nyingi sana sana sana kiasi kwamba ni vigumu kukumbuka ipi ni ipi full usanii alimradi wajihakikishie kuendelea kucontrol! Yaani wametuletea maigizo ya kutosha kabisa.
 
Nyerere alijenga Airport ya Musoma kwa ajili ya kufacilitate watalii kwenye mbuga ya serengeti,au hujui kuwa 3/4 ya mbuga ya serengeti ipo Mkoa wa mara na ni rahisi kwenda Serengeti kupitia Musoma.
Nipo Mwanza na nimekuwa na shughuli za hapa na na pale Musoma. Hakuna flight traffic za kwenda Musoma kama ambavyo unataka kusema. Watalii wengi wanaingia Serengeti wakitokea Ngorongoro na wengine wakitokea Kenya.
Hata uwanja wa Mwanza yet haujawa kwenye strategic position kuvutia watalii ukilinganisha na Arusha licha ya Mwanza kwenda Serengeti au Musoma Airport kwenda Serengeti ni so close ukilinganisha na Arusha.

Anyway, assuming your assumption is correct; akina Sumaye, Msuya, Mwandosya, Mramba...ndiyo. Kitilya na kujaza wachaga TRA, Wanyakyusa na kujazana NIC wakati mmoja; Tanzania pamoja na mema mengi yaliyo kati yetu; haya ni baadhi ya ubinadamu ambao tumekuwa tukiuishi na sio aibu kuusema kwa kukumbuka yale yaliyofanyika huko nyuma
 
Na ili iendelee zaidi ni lazima chato iwe na hadhi maalum!! Upendeleo wa kipuuzi kabisa,mbona sijasikia maendeleo yakisukumiwa sehemu nyingine zenye shida zaidi ya chato?
Wewe ndiye uliipatia Mwanza hicho kitovu?!, Kwanini isijengwe Musoma, Kahama, Shinyanga au Bukoba?!

Zama za Daslam na Coast zimefikia tamati, ilikusudi taifa liendelee lazima maendeleo yatapanywe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chato haiwezi kuwa hivi sababu mobuti alijenga maporini, chato tayari ni Wilaya and soon kuwa mkoa wa Rubondo.
 
Kwa hiyo suluhisho ni kurundika kila kitu chato? Najua hata wewe unaina aibu maana huko kwenu hamna lolote ila tu kea kuwa tu you are dumb praiser huna budi kusifia hata ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo suluhisho ni kurundika kila kitu chato? Najua hata wewe unaina aibu maana huko kwenu hamna lolote ila tu kea kuwa tu you are dumb praiser huna budi kusifia hata ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka kila kitu kiwe dar hapana aisee dar kumejaa huduma nyingine tuziweke mkoani badala ya kwenda india
 
Mnyonge ni wewe na Baba yako na familia yako! Mkome kutuita watanzania WANYONGE!! Msitufanye sisi misukule yenu!
 
Kwahiyo unataka tukatibiwe Chato!
Yeah kuliko kwenda india mkuu kinajengwa kitu pale full equipped watu wote tunaelekea chato tukishatibiwa tunaenda kufanya utalii burigi
 
Kwahiyo unataka tukatibiwe Chato!
Yeah kuliko kwenda india mkuu kinajengwa kitu pale full equipped watu wote tunaelekea chato tukishatibiwa tunaenda kufanya utalii burigi
 
Chattle utakuwa mkoa soon..... wako kwenye maandalizi.

Mwenyewe kakaa kimya kama vile siyo yeye anayetoa maelekezo,,...!!
 
Haikuhitaji utafiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…