Uchaguzi 2020 CHAUMA tunakwenda vizuri. CCM mjiandae kuondoka 28/10/2020

Uchaguzi 2020 CHAUMA tunakwenda vizuri. CCM mjiandae kuondoka 28/10/2020

Ndiyo chenyewe. Tunaomba muendelee kutuunga mkono. Ushindi tutaupata asubuhi na mapema.
Mimi mwenyewe nimevutiwa sana na sera za hichi chama je nikitaka kuwa mwanachama nafanyaje mkuu
 
Mwenendo wa kampenii wa chama chetu uko vizuri sana. Mpk sasa hakuna hata mgombea wetu mmoja wa udiwani ama ubunge aliyeenguliwa.

Kampeni za mgombea urais zina utulivu mkubwa na zinafanywa kisayansi Sana tena kwa gharama nafuu kabisa.
Watanzania endeleeni kutuunga mkono 28/10/2020 tuiondoe CCM tuboreshe lishe.

Kumbuka:
UBWABWA NI SEHEMU TU YA LISHE tunayoipigania Chauma.
Wapuuzi wakubwa nyie. Swala la kumpigia kura Rais mtarajiwa ili asimamishwe kufanya kampeni kwa siku (7) limewapotezea hata vile vikura vichache ambavyo mgevipata pale Manzese...Kumbe ndio akili zenu mtu unaanzaisha chama kusudi uwe unatumika...
 
Mimi mwenyewe nimevutiwa sana na sera za hichi chama je nikitaka kuwa mwanachama nafanyaje mkuu
Fika ktk tawi lolote la chama chetu utakaribishwa kwa kupewa sahani ya ubwabwa (huwa hatuongei na mwenye njaa), utapewa kadi na ikibidi utpewa na cheo.
 
Uchaguzi haiitaji mbwembwe na matusi km ya mgombea wa chadema

Unahitaji kukimbia na mabox ya kura kwa maagizo ya Magufuli, kwa uratibu wa jeshi la polisi na tume isiyo huru ya uchaguzi.
 
Wapuuzi wakubwa nyie. Swala la kumpigia kura Rais mtarajiwa ili asimamishwe kufanya kampeni kwa siku (7) limewapotezea hata vile vikura vichache ambavyo mgevipata pale Manzese...Kumbe ndio akili zenu mtu unaanzaisha chama kusudi uwe unatumika...
Ni matakwa ya kanuni, sheria na taratibu. Halafu bado yeye ni mgombea usimuite rais mtarajiwa.

Tena yeye yawezekana amezidiwa umaarufu na huyu mgombea wetu wa Chauma mhe Hashimu Rungwe maana sera yake ya ubwabwa imewavutia watanzania wengi
 
Lissu ni msaliti wa Nchi alikuwa anahongwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu

Usaliti ni laana huyo mgombea wenu laana inamkabili
Hujaweka ushahidi.Hujaweza kuweka ushahidi wa tuhuma hizo kwa sababu ni tuhuma za uongo na ni porojo tu na mtu ambae anaweza kutumia muda wake kuandika porojo kwenye jukwaa kama hili ni mtu mpumbavu au mwenye mtindio wa ubungo.Wewe kama siyo mpumbavu basi una utindio wa ubongo.
 
Hujaweka ushahidi.Hujaweza kuweka ushahidi wa tuhuma hizo kwa sababu ni porojo tu na mtu ambae anaweza kutumia muda wake kuandika porojo kwenye jukwaa kama hili ni mtu mpumbavu au mwenye mtindio wa ubungo.Wewe kama siyo mpumbavu basi una utindio wa ubongo.
Chonde chonde mkuu uzi huu ni mahususi kwa ajili ya mgombea wa CHAUMA. Tunaomba tupeane mbinu za kunenepesha ushindi wa mhe Hashimu Rungwe ili apate mafuriko ya kura siyo ya watu.
 
Ni matakwa ya kanuni, sheria na taratibu. Halafu bado yeye ni mgombea usimuite rais mtarajiwa.

Tena yeye ulyaeezekana amezidiwa umaarufu na huyu mgombea wetu wa Chauma mhe Hashimu Rungwe maana sera yake ya ubwabwa imewavutia watanzania wengi
Matakwa ya sheria na utaratibu kwamba msihoji mapungufu makubwa yaliyojitokeza kwenyr kampeni za huyo aliyewatuma? hivi zinawatosha kweli nyie? hivi lengo lenu ni nini? kuwaadaa watu kwa ubwabwa au kuiondoa CCM madarakani? Nani kati ya Lissu na JIWE anastahili kuungwa na vyama vya upinzani Mbwa nyie?
 
Kosa halitibiwi kwa kufanya kosa.

Ya huyo yatashughulikiwa pia....kwa mujibu wa tume
 
Mwenendo wa kampenii wa chama chetu uko vizuri sana. Mpk sasa hakuna hata mgombea wetu mmoja wa udiwani ama ubunge aliyeenguliwa.

Kampeni za mgombea urais zina utulivu mkubwa na zinafanywa kisayansi Sana tena kwa gharama nafuu kabisa.
Watanzania endeleeni kutuunga mkono 28/10/2020 tuiondoe CCM tuboreshe lishe.

Kumbuka:
UBWABWA NI SEHEMU TU YA LISHE tunayoipigania Chauma.
 
Alikuwa anahongwa mabilion na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu

Ushahidi uliopo hauoneshi hivyo bali kuwa JIWE ndio fisadi wa mali zetu kwa kupitia migongo ya wakina MAYANGA!!!
 
Ushahidi uliopo hauoneshi hivyo bali kuwa JIWE ndio fisadi wa mali zetu kwa kupitia migongo ya wakina MAYANGA!!!
Tafadhali mkuu huu uzi ni maalum kwa ajili ya maboresho ya ushindi wa mgombea wa CHAUMA. Tunaomba mawazo yako
 
Kosa halitibiwi kwa kufanya kosa.

Ya huyo yatashughulikiwa pia....kwa mujibu wa tume
yatashughlikiwa lini kama mmewekewa pamba mdomoni msihoji.Vipi kwanini hamkohiji kabla kupiga kura kwamba yote yaletwe mezani kufanyiwa kazi kwa wakati mmoja mmgepoteza na nini zaidi ya kulinda heshima yenu? Tena kuna malalmiko kibao ya mgombea wa CCM yalitangulia kitambo?
 
Ile tu kuungwa mkono na bwana Amsterdam na kukutolea matamko kuhusu uchaguzi, huo ni usaliti tosha.
Njie ni wakommunist hamna human value. Chadema moto wa kuotea mbali, tunapigania Haki. Uhuru na maendeleo- human values
 
Chonde chonde mkuu uzi huu ni mahususi kwa ajili ya mgombea wa CHAUMA. Tunaomba tupeane mbinu za kunenepesha ushindi wa mhe Hashimu Rungwe ili apate mafuriko ya kura siyo ya watu.
Mkuu CHAUMA wanafanya vizuri sana.Wamefanikiwa kuweka wagombea wa udiwani kwenye kata nyingi sana achilia mbali wabunge
tzswag1_20201001_2.jpg
 
Back
Top Bottom