The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Wakuu
CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM.
Tunawasikia CHAUMMA mnasema lengo lenu ni kushika dola na kuiondoa CCM madarakani. Je, mtalifanikisha hilo kwa kuijadili kuishambulia na kuipiga vijembe CHADEMA?

Mbona mnajisahau au ndo mnatumia mpunga wa wawatawala kudhoofisha mapambano halisi? Uko wapi ukombozi wa umma maouhubiri kila siku? Kwa huu mwendo mnaoenda sitashangaa mkiendelea kuzomewa baadhi ya mikutano yenu.